Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI UHAMIAJI KILIMANJARO WATAKIWA KUBAKI NJIA KUU

Mkuu wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johannes Msumule akizungumza wakati wa semina kwa wafanyakazi wa idara hiyo juu ya maambukizi ya Ukimwi na Virusi vya Ukimwi,semina iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini  Moshi. Mgeni rasmi katika semina hiyo ambaye ni mwakilishi wa TACAIDS mkoa wa Kilimanjaro Razia Ngaina akizungumza na watumishi wa idara ya uhamiaji(hawako pichani) wakati wa semina juu ya maambuzi ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jela kwa kushindwa kubaki njia kuu

MWALIMU wa Shule ya Msingi Misunkumilo, Kata ya Namanyere, wilayani Nkasi, mkoani Rukwa, Oswald Kapota (33) amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kosa la kutelekeza familia yake na kwenda kuishi...

 

10 years ago

StarTV

Sunderland wafurahia kubaki ligi kuu Uingereza.

Klabu ya Sunderland na Arsenal jana wametunushiana misuli baada ya kutoka 0-0 na hivyo kufanikiwa kuondoa mashaka ya kushuka daraja msimu huu katika ligi ya England.

Hata hivyo kwa matokeo hayo Arsenal wanashika nafasi ya tatu nyuma ya Manchester City katika ligi hiyo inayomalizika.

Hata hivyo katika mchezo huo Sunderland wanapaswa kujilaumu kwa nafasi ambayo walipata na kushindwa kuitumia kupitia mshambuliaji wake Steven Fletcher.

Mlinda mlango Costel Pantilimon ndiye aliyeibuka shujaa...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA Kilimanjaro watakiwa kusimama imara na kudai fursa mbalimbali zikiwamo za kupewa kipaumbele katika ajira zinazotokana na mlima Kilimanjaro

VIJANA wa mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kusimama imara na kudai fursa mbalimbali zikiwamo za kupewa kipaumbele katika ajira zinazotokana na mlima Kilimanjaro.

Kauli hiyo ilitolewa jana jijini na Naibu Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), wilaya ya Moshi Vijijini, Innocent Melleck alipokuwa akizungumza na waandishi wahabari juu ya mkakati wa kupambana na wimbi la vijana walio mitaani kwa kukosa ajira katika mkoa wa Kilimanjaro .  Melleck alisema anatarajia kuitisha...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA AFISI KUU YA UHAMIAJI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Tanzania Sylvester Ambokile Mwakinyule wakati alipowasili kulifungua Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Njia za Kilimanjaro Marathon Tanzania zapimwa

Shirikisho la Riadha duniani na Chama Cha kimataifa cha mbio ndefu na fupi wamepima na kupitisha njia kwa mbio za Kilimanjaro Marathon.

 

10 years ago

Michuzi

Njia Kilimanjaro Marathon 2015 zatangazwa

Mbio za Kilimanjaro Marathon 2015 zitafanyika kwenye njia ile ile iliyotumika mwaka jana baada ya kupimwa na kuidhinishwa na shirikisho la riadha duniani. Njia hiyo ni mzunguko na imelenga kuwafanya wanariadha wakimie kwa raha na usalama zaidi bila tatizo la msongamano barabarani.
Akizungumzia njia hiyo Mkurugenzi wa Kilimanjaro Marathon, John Bayo amesema “Ni njia nzuri sana. Mbio za Full marathon zitaanzia uwanja wa Ushirika na kwenda kilomita kumi njia ya kuelekea Dar es salaam na kurudia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilimanjaro Marathon yatangaza njia mpya

WAANDAAJI wa Kilimanjaro Marathon wametangaza njia mpya zitakazotumika mwaka huu, ikiwa ni hatua nyingine muhimu katika mafanikio ya mbio hizo ambazo zinaingia mwaka wa 12 tangu kuanzishwa. Njia hizo mpya...

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi NHIF watakiwa kujiendeleza kitaaluma

WATUMISHI wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wametakiwa kujiendeleza kitaaluma ili kuongeza ufanisi na kuzikabili changamoto za sekta ya bima ya afya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani