Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi NHIF watakiwa kujiendeleza kitaaluma

WATUMISHI wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wametakiwa kujiendeleza kitaaluma ili kuongeza ufanisi na kuzikabili changamoto za sekta ya bima ya afya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA UMMA WA MKOA WA MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WATAKIWA KUJIENDELEZA KUPITIA TAWI LA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANZANIA TAWI LA MBEYA


Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu, akizungumza wakati wa mahafali ya 22 ya Chuo cha Utumishi Tanzania (TPSC) na ya kwanza kwa tawi la Mbeya hivi karibuni Jijini Mbeya.Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,HAB Mkwizu akimtunuku mmoja wa wahitimu wa mafahali  ya 22 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na ya kwanza  kwa tawi la Mbeya.
Sehemu ya wahitimu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Tawi la Mbeya wakiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanachama NHIF watakiwa kutumia maduka ya dawa

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewataka wanachama wake kupata huduma za dawa katika maduka yaliyosajiliwa na mfuko huo pindi wanapozikosa kwenye hospitali au vituo vya afya. NHIF...

 

9 years ago

Mwananchi

Watoa huduma za afya watakiwa kuacha kuisingizia NHIF

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), umewataka watoa huduma za afya, kuwajibika kwa ufanisi na kuacha kutoa visingizio kuwa NHIF, inachelewesha kulipa fedha za wanachama.

 

9 years ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI BABATI WATAKIWA KUJIUNGA NA MPANGO WA KIKOA WA NHIF

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, Crispin Meela amewataka wajasiriamali wa wilaya hiyo kujiunga na mpango wa bima ya afya ya Kikoa ili wapate huduma za afya kwa unafuu na ubora zaidi pindi wakiugua.
Meela aliyasema hayo mjini Babati katika kongamano la kuwakutanisha wajasiriamali wa wilaya hiyo wa vicoba, Saccos, amcos, vibindo na vikundi maalum vilivyosajiliwa ili wajiunge na mpango wa bima ya afya ya Kikoa.
Alisema kuna changamoto nyingi za afya wilayani humo ila kupitia mpango...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA KIGOMA WATAKIWA KUJIUNGA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA (NHIF).

 Mkuu wa Mkoa wa kigoma akiwaeleza wafanyabiashara(ambai hawapo pichani) wa Kigoma umuhimu wa kujiunga na mfuko wa bima ya afya(NHIF) Ofisa matekelezo kutoka mfuko wa bima ya afya Kigoma Evance Ndyamkama akiongea na wafanyabiashara wa Kigoma jinsi ya kujiunga na mfuko huo Makamu mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara Mkoa wa Kigima(TCCIA) Sethi Naftari akisona hotuba ya wafanyabiashara kwa Mgeni rasmi Issa Machibya na maofisa mfuko wa bima ya afya Baadhi ya wafanyabiashara wa Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KAZI NA AJIRA,GAUDENSIA KABAKA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA NHIF ARUSHA.

 Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akizungumza wakati akizindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) jijini Arusha leo,kushoto ni Naibu Mkurugenzi wa NHIF,Michael Mhando na kulia ni Makamu Mwenyekiti  aliyechaguliwa wa Baraza la Wafanyakazi,Deudedit Rutazaa. Naibu Mkurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini(NHIF),Michael Mhando akitoa hotuba yake leo wakati wa mkutano wa uchaguzi na uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa mfuko huo.  Makamu Mwenyekiti wa Baraza la...

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi wa Deluxe watakiwa kuelimisha abiria

BAADA ya kufanyiwa uharibifu katika baadhi ya mabehewa ya treni mpya ya abiria (Deluxe), Kampuni ya Reli nchini (TRL) imewaagiza wafanyakazi na wahudumu wa treni hiyo kutoa elimu kwa abiria juu ya matumizi ya huduma mbalimbali zilizomo ndani ya treni hiyo ili kuepuka uharibifu.

 

9 years ago

Michuzi

Wafanyakazi watakiwa kufuatilia makato yao



Mkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi.
Na Mwandishi wetu, DodomaWANACHAMA wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii wametakiwa kufuatilia makato yao kwa kuwa baadhi ya waajiri wanachelewa kupeleka makato yao. Mbali na hilo, waajiri wa mmetakiwa kutowalazimisha wafanyakazi wao kujiunga na mfuko wasioupenda badala yake wapewe nafasi ya kujieleza. Kauli hiyo, ilitolewa jana na Ofisa Tehama wa Mamlaka ya Usimamizi na...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI UHAMIAJI KILIMANJARO WATAKIWA KUBAKI NJIA KUU

Mkuu wa idara ya uhamiaji mkoa wa Kilimanjaro Johannes Msumule akizungumza wakati wa semina kwa wafanyakazi wa idara hiyo juu ya maambukizi ya Ukimwi na Virusi vya Ukimwi,semina iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha uhamiaji mjini  Moshi. Mgeni rasmi katika semina hiyo ambaye ni mwakilishi wa TACAIDS mkoa wa Kilimanjaro Razia Ngaina akizungumza na watumishi wa idara ya uhamiaji(hawako pichani) wakati wa semina juu ya maambuzi ya virusi vya Ukimwi na Ukimwi iliyofanyika katika ukumbi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani