Wafanyakazi wa TBL Group washiriki matembezi ya kuchangia ununuzi wa madawati
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongoza matembezi hayo yaliyoandaliwa kwa ajili ya kununua madawati.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TBL Group wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi Rais mstaafu wa Tanzania Mh.Ali Hassan Mwinyi , baada ya kumalizika kwa matembezi ya hisani yalioandaliwa na taasisi ya Hassan Maajar Trust kwa ajili ya kuchangisha fedha za kununulia madawati kwa wanafunzi wa shule za msingi Maji Matitu iliyopo Mbagala wilayani Temeke,Matembezi hayo yalifanyika jijini Dar es...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Oct
Wafanyakazi wa TIGO washiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akisalimiana na Meneja wa huduma za Jamii wa kampuni ya simu ya Tigo, Woinde Shisael (kulia) kabla ya kuanza kwa matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti jijini Dar es Salam jana yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo. Wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya saratani ya Ocean Road, Diwani Msemwa (kushoto kwake) na Mkurugenzi wa Wellworth Tanzania, Saul Basckin.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid...
9 years ago
Dewji Blog10 Dec
Wafanyakazi TBL washiriki usafi wa mazingira Dar, Arusha na Mwanza
Wafanyakazi wa kiwanda Bia tawi la Arusha wakifanya usafi eneo la kituo kikuu cha mabasi jijini Arusha kuitikia wito wa Rais Dk John Magufuli kufanya usafi wakati wa maadhimisho ya ya Uhuru wa Tanganyika.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Bia Tanzania wakishiriki zoezi la kufanya usafi katika maeneo ya Mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Uhuru ambapo kwa mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Magufuli ameitangaza kuwa siku...
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Wafanyakazi wa TBL Group watunukiwa vyeti vya ufanisi
Mkurugenzi wa kampuni ya TBL Group,Roberto Jarrin akiwa katika picha na baadhi ya wafanyakazi waliotunukiwa tuzo ya you Make the Difference katika kiwanda cha Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group, Roberto Jarrin (Kushoto) akiwa na mfanyakazi wa kitengo cha ufundi wa kiwanda cha Mbeya Godwin Kambi baada ya kumtunukia cheti kwa kufanyia kazi kiwandani hao kwa kipindi cha miaka 15.Hafla ya kuwatunuku wafanyakazi vyeti ilifanyika hivi karibuni kiwandani hapo.
Margaret Simon Mlwale...
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Wafanyakazi TBL Group waadhimisha Siku ya UKIMWI duniani kwa kupima afya zao
Mfanyakazi wa Kampuni ya TBL; kiwanda cha kuzalisha pombe kinywaji aina ya Chibuku kilichopo Ubungo Dar es Salaam,Reocatus Hanania akipewa ushauri nasaha na akimsikiliza mtoa ushauri nasaha kutoka Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan; Aurelia Kanambi kabla ya kupima Virusi vya Ukimwi ikiwa ni sehemu ya maadhimishao ya siku ya Ukimwi Duniani. TBL kila mwaka ambapo Kampuni ya kutengezea bia (TBL) hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kualika wataalamu wa afya kwa ajili ya kutoa...
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Tigo yashiriki matembezi ya kuchangia saratani ya matiti
Afisa huduma kwa jamii wa Kampuni ya Tigo, May Thomas (kulia) akishiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo Dar es Salam jana.
Washiriki wa matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni ya Tigo jijini Dar es Salam jana.
10 years ago
Michuzi30 Apr
NMB YAKABIDHI HUNDI YA SH. BILIONI 1.5 KUCHANGIA MADAWATI
![unnamed](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/unnamed36.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-BLGseXWOmdw/VFUVl9WidOI/AAAAAAACSUs/ZDffuAsGOtA/s72-c/1b.jpg)
WAZIRI MKUU ANOGESHA HAFLA YA KUCHANGIA MADAWATI, JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-BLGseXWOmdw/VFUVl9WidOI/AAAAAAACSUs/ZDffuAsGOtA/s1600/1b.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-q_ZOdXwLjK8/VFUVkkFWtyI/AAAAAAACSUk/nMgnCB-KeMU/s1600/3.jpg)
10 years ago
MichuziVIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA WASHIRIKI MATEMBEZI YA MAPINDUZI
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-tDmDNGib34M/VFTZvW-7h5I/AAAAAAAGug8/9XvMX6IeA9E/s72-c/1b.jpg)
WAZIRI MKUU MDENI RASMI KATIKA HAFLA KUCHANGIA MADAWATI ILIOANDALIWA NA HASSAN MAAJAR TRUST
![](http://3.bp.blogspot.com/-tDmDNGib34M/VFTZvW-7h5I/AAAAAAAGug8/9XvMX6IeA9E/s1600/1b.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-o035_1O17Qg/VFTZvuANO-I/AAAAAAAGuhA/NP2qTMm3G4s/s1600/3.jpg)