Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi wa Vodacom waingia mitaa ya jiji la Dar na"Hello Tanzania"

Mfanyakazi wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom George Rwehumbiza, akiwaelekeza baadhi ya wafanyabiashara wa viatu walioko katika soko la kariakoo namna ya kujiunga na huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM WAINGIA MTAANI NA"HELLO TANZANIA"‏

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Caleb Makami(kushoto),akimwelekeza mfanyabiashara wa matunda katika soko la Nyuki Tegeta jijini Dar es Salaam,Bw.Sila Taifa namna ya kujiunga na huduma mpya ya”Hallo Tanzania”ambayo inampatia mteja wa kampuni hiyo. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi.Ili kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo Tanzania,kulia ni...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania ilivyowarusha wateja wake kila kona ya jiji la Dar

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Gwiji wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz akiwapagawisha mashabiki wa muziki wake katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Msanii wa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KONA YA JIJI LA DAR‏

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu  Mzee Yusuf  akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.…

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha Mwandaliwa Islamic kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari watoto hao wa kituo hicho jana. Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo lipokwenda kufuturisha katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Mwandaliwa Islamic ...

 

11 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAFUTURU KWA PAMOJA NA WATOTO YATIMA WA MWANDALIWA BUNJU JIJINI DAR‏

Mmoja wa watoto anaelelewa katika kituo cha yatima cha  Mwandaliwa Islamic kilichopo  Bunju jijini Dar es Salaam,Asha Ramadhan,akihudumiwa futari na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakati walipokwenda kufutulisha futari   watoto hao wa kituo hicho jana.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania Harriet Lwakatare akimmiminia uji Ali Shaban (3) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo...

 

10 years ago

GPL

MTANDO WA GPL WATEMBELEA MITAA YA JIJI LA DAR

Taswira ya tukio zima la magari madogo  yaliyogongana bila kusababisha majeruhi yeyote.  Taka ngumu zikiwa zimekwama katika mfereji wa kiwanda…

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GLOBAL IKIRANDARANDA MITAA YA JIJI LA DAR

Feri ya Mv Kigamboni ikiwa mzigoni. Abiria wakitoka maeneo ya Kigamboni wakishuka kutoka kwenye Feri.…

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GPL KATIKA MITAA YA JIJI LA DAR

Pea mbalimbali za viatu zikiwa zimening’inizwa kwenye waya wa umeme, kitu ambacho ni hatari kwa usalama wa wakazi wa eneo hilo la Mkwajuni Kinondoni.
Baiskeli ya magurudumu matatu (guta) ikiwa imebeba vipande vya maeneo ya Buguruni, Dar.…

 

11 years ago

GPL

KAMERA YA GPL KATIKA MITAA TOFAUTI YA JIJI LA DAR

Athari za mafuriko maeneo ya Ubungo-Extenal. Dereva akiangalia namna ya kupita eneo hili ambapo barabara inatengenezwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani