WAFANYAKAZI WA VODACOM WAINGIA MTAANI NA"HELLO TANZANIA"
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Caleb Makami(kushoto),akimwelekeza mfanyabiashara wa matunda katika soko la Nyuki Tegeta jijini Dar es Salaam,Bw.Sila Taifa namna ya kujiunga na huduma mpya yaâ€Hallo Tanzaniaâ€ambayo inampatia mteja wa kampuni hiyo. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi.Ili kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo Tanzania,kulia ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8VYf-DUOyKyVdUA*ANpijz2LJpTixxzmFrOT*O928qYlPvNty12xYS5WQXpHt6EzaU9ZFal7oOCzgt8vm69twng/001.JAYMILLIONSMARKETSTORM.jpg)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI
Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ilala George Venanty (wa pili toka kulia) akifafanua jambo kwa wafanyakazi wenzake wakati wa kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544. Muuza magazeti wa Kariakoo jijini Dar es…
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4sDnrbwK0Ws/VMJUl3vgSDI/AAAAAAAG_Ko/kEL_Rdy1XnE/s72-c/001.JAY%2BMILLIONS%2BMARKET%2BSTORM.jpg)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAIPELEKA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS MTAANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-4sDnrbwK0Ws/VMJUl3vgSDI/AAAAAAAG_Ko/kEL_Rdy1XnE/s1600/001.JAY%2BMILLIONS%2BMARKET%2BSTORM.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IrMqlhFtKqI/VMJUl9DdwoI/AAAAAAAG_KU/86v2DO20UQI/s1600/002.JAY%2BMARKET%2BSTORM.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LHlw6fSMDhY/UwIJNJCpimI/AAAAAAAFNms/eJItwaSSxz8/s72-c/001+KKOO.jpg)
Wafanyakazi wa Vodacom waingia mitaa ya jiji la Dar na"Hello Tanzania"
![](http://2.bp.blogspot.com/-LHlw6fSMDhY/UwIJNJCpimI/AAAAAAAFNms/eJItwaSSxz8/s1600/001+KKOO.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p9piKYn1mVLykn6roK1V-NcPNVNivbcRh0PpCmbNfDzzk8VXv9JrdBhwX7GsDKvUaYWQ1CoJm9Yt9OSpbuvEuhOCXNvcq-IT/001.MALAIKA.jpg?width=750)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEWA WATOTO YATIMA
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na mtoto Pendo Juma(kushoto)anaelelewa katika kituo cha yatima cha Malaika cha Kinondoni jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba mfuko wa mchele wakati baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kituo hicho kuwasilisha msaada kwa niaba ya wafanyakazi wenzao ya vitu mbalimbali kama nguo, chakula na vitabu akiongozana nao kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIsW1IaW-ykGnBU4aqmW7lwat31CMuPTeiMa7E4XqUjE*FpdTnjAKRQm3HpHSXEIzo6cPhBtgzYG6JuPwm0hp7tP/001.CCBRT.jpg?width=650)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA WAGONJWA CCBRT
Mtoto Raphael Barnaba (4) kutoka mkoani Mbeya anayetibiwa miguu katika hospitali ya CCBRT iliyopo jijini Dar es Salaam, akipokea kwa furaha zawadi ya matunda kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya simu ya Vodacom kitengo cha Rasilimali Watu, Alice Lewis (katikati) wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea wagonjwa katika hospitali hiyo na kuwagawia matunda kama sehemu ya kampeni ya Pamoja na Vodacom chini ya Vodacom...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nNOqzuU--h*poA-gRqZpheHxPB5nMfLEoMVIkVrfVEleS4dmhMTSi4VdjpKB-OvTsg6xGEck3H0tIRawdrP2pPsBbSGj9dji/001.AFANDEPRISCA.jpg?width=650)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakifuatilia mafunzo ya sheria inayomlinda mtoto pamoja na masuala mengine ya jinsia yaliyokuwa yakitolewa kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam leo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi  Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba (hayupo pichani).
 Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL*bUFaeuB4HTgAhaXHb7bcjsUEuYpVjzzp5WNha2pzyCRh*Pa59Lc4ndYWpU6CHOPi4SUhOD3YAhAnD8KuSX1pZ/001.SEMINA.jpg)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAPEWA ELIMU JUU YA HAKI ZA JINSIA
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dawati la Jinsia Mkoa wa Kinondoni, Inspekta Prisca Komba akisikilizwa kwa makini na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati alipokuwa akitoa mafunzo ya jinsia kwenye semina iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam leo. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Esther Mattle… ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLQ6t7FO8pTWDBL-rrkBIDH8nqk3B9c7WMqr00NUnUum4W3MoX7uLsXJITkNm7HIuryXe9x78dUIIaq3ylp4yQNw/002.DAMU.jpg)
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WACHANGIA DAMU KWA AJILI YA WATANZANIA WENZAO
Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania kitengo cha M-PESA,Gabriel Urasa akiwa amejilaza kwenye kitanda maalum akichangia kwa hiari wakati wa zoezi la kuchangia damu salama ili kuokoa maisha ya watanzania wengine. Uchangiaji huo ulifanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJMH*Oee7lG5ukLXW8cT3hIIVVQIydSVWHz7IutnIWClzg1FgVTmyKGnGBrjXuVqyYlA9PhnkTW*Hu3HKDwx1HfT/001.UMRA.jpg?width=650)
WAFANYAKAZI WAISLAMU WA VODACOM TANZANIA NA MARAFIKI ZAO WATOA MSAADA KITUO CHA YATIMA
Watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam, wakiangalia simu ya mfanyakazi wa Vodacom Tanzania ShamsaHamud(anayewashuhudia)Wafanyakazi wa kampuni hiyo walifika kituoni hapo kwa ajili ya kutoa msaada wa vyakula mbalimbali na fedha taslimu zilizochangwa na wafanyakazi waislamu na marafiki zao kwa ajili ya watoto hao kusherehekea sikukuu ya Idd.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania