Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFUGAJI KIGAMBONI WAKABIDHIWA MIKOPO YA N’GOMBE WA MAZIWA 83

Mkurugenzi  wa Covenant Bank,  Sabetha Mwambenja, akimpokea  Waziri  wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, wakati akiwasili katika hafla ya kukabidhi Ng’ombe 83 wa Maziwa kwa wafugaji wadogo wa Kikundi cha Somangira walioko Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Ng’ombe hao wamenunuliwa kwa Mkopo kutoka Covenant Bank. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, akizungumza na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI DR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO KIGAMBONI, DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi  wa Covenant Bank,  Mama Sabetha Mwambenja, akimpokea  Waziri  wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, wakati akiwasili katika hafla ya kukabidhi Ng’ombe 83 wa Maziwa kwa wafugaji wadogo wa Kikundi cha Somangira walioko Kigamboni Jijini Dar es Salaam, Ng’ombe hao wamenunuliwa kwa Mkopo kutoka Covenant Bank. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Somangira, Kigamboni Jijini Dar es Salaam katika hafla ya kukabidhi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maziwa yawatoa ufukara wafugaji Senegal

Ufugaji wa ngombe wa maziwa nchini Senegal umechangia ustawi wa maisha ya raiya wengi wa mashambani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maziwa ya kusindika ‘yawaliza’ wafugaji nchini

UINGIZWAJI wa maziwa ya kusindikwa kutoka nchi jirani unawakatisha tamaa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa nchini hatua ambayo inaweza kusababisha wafugaji kuiacha biashara hiyo. Changamoto hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji...

 

10 years ago

Michuzi

DR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. Titus Kamani, amekabidhi mikopo ya Ng’ombe wa maziwa themanini na tatu (83) kwa kikundi cha wafugaji cha Somangira walioko Kigamboni wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam.
Ng’ombe hao ambao wamenunuliwa kwa mkopo uliotolewa na Covenant Bank wana uwezo wa kuzalisha maziwa zaidi ya Lita 20 kwa siku. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo Waziri Kamani ametanabaisha  kuwa mikopo ya aina hiyo italeta mapinduzi makubwa katika sekta ya mifugo.
“Kitendo cha...

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA

Charles James, Michuzi TV

WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.

DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

Bodi ya Maziwa na Heifer Internationl wahamasisha unywaji wa maziwa

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele (kushoto) akitembelea banda la Shirika la Heifer International Tanzania katika maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Mfugaji wa Shrika la Heifer, Emannual Mgesi (aliyevaa Kaunda suti nyekunde) akimweleza Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Joh Henjewe pamoja na wakazi wengine wa Musoma kuhusu ufugaji bora wa ng’ombe wakati wa maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Meneja wa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AZINDUA WIKI YA MAZIWA, KUANZISHA KAMPENI YA KUKAGUA WANAOKUNYWA MAZIWA YA UNGA

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema itaanzisha kampeni ya kukagua Ofisi za Umma na binafsi ambazo zinatumia maziwa ya unga badala ya maziwa halisi yanayotengenezwa nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega leo jijini Dodoma wakati akizindua wiki ya maziwa nchini ambayo itafanyika hadi Juni 1.

Naibu Waziri Ulega amesema ni jambo la aibu kuona watanzania wakitumia maziwa ya unga na kuacha yale yanayotengenezwa na watanzania wenzao jambo ambalo amesema...

 

11 years ago

Michuzi

MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI

Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu akishangilia baada ya  kampuni yake  kuwa ndio kampuni  bora ya uzalishaji maziwa nchini Tanzania katika mashindano yaliyofanyika mkoani mara Watoto  wa mkoa wa Mara  wakishangaa ubora wa maziwa ya Asas kutoka Iringa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kulia na  viongozi  wengine wakifuatilia maonyesho hayo huku  wakifurahia ubora wa maziwa ya Asas Dairies Ltd.
Picha zaidi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kivuko cha MV Kigamboni kurejea kutoa huduma kwa wakazi wa Kigamboni

pix 1

Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli  akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika  uzinduzi wa kivuko cha Kigamboni  jana jijini Dar es  Salaam kinachofanyiwa matenganezo  na Jeshi la Wanamaji maeneo ya Kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.

pix 2

Mtendaji  Mkuu  Temesa Injinia  Marceline Magesa akitoa neno la shukrani  kwa Jeshi la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni jana jijini Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani