Maziwa ya kusindika ‘yawaliza’ wafugaji nchini
UINGIZWAJI wa maziwa ya kusindikwa kutoka nchi jirani unawakatisha tamaa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa nchini hatua ambayo inaweza kusababisha wafugaji kuiacha biashara hiyo. Changamoto hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Jun
Shirika la Oxfam lakabidhi vituo vya kusindika na kuhifadhi maziwa kwa wanawake wa wilaya ya Ngorongoro
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akijaribisha Jokofu linalotumia umeme wa jua wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro, John Kulwa Mgalula (kushoto) akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania.
Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha...
10 years ago
Dewji Blog19 Jun
Shirika la Oxfam lakabidhi vituo vya kusindika na kuhifadhi maziwa kwa wanawake wa vijiji vinne wilaya ya Ngorongoro
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akijaribisha Jokofu linalotumia umeme wa jua wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro, John Kulwa Mgalula (kushoto) akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania.
Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha...
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA OXFAM LAKABIDHI VITUO VYA KUSINDIKA NA KUHIFADHI MAZIWA KWA WANAWAKE WA VIJIJI VINNE VYA WILAYA YA NGORONGORO
Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula wa kwanza kushoto akioneshwa baadhi ya vifaa ambavyo walikabidhiwa vituo hivyo na Shirika la Oxfam Tanzania Baadhi ya Wanakikundi cha NOSOTWA kutoka kijiji cha Engaresero...
10 years ago
BBCSwahili24 Oct
Maziwa yawatoa ufukara wafugaji Senegal
10 years ago
GPLWAFUGAJI KIGAMBONI WAKABIDHIWA MIKOPO YA N’GOMBE WA MAZIWA 83
10 years ago
MichuziDR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO
Ng’ombe hao ambao wamenunuliwa kwa mkopo uliotolewa na Covenant Bank wana uwezo wa kuzalisha maziwa zaidi ya Lita 20 kwa siku. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo Waziri Kamani ametanabaisha kuwa mikopo ya aina hiyo italeta mapinduzi makubwa katika sekta ya mifugo.
“Kitendo cha...
10 years ago
MichuziWAZIRI DR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO KIGAMBONI, DAR ES SALAAM
11 years ago
Mwananchi24 May
Uzalishaji maziwa waongezeka nchini
5 years ago
MichuziDC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA
WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.
DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...