Wafugaji tisa wauawa Kisarawe
 Mapigano makali yamezuka kati ya jamii mbili za wafugaji katika Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani na kusababisha vifo vya watu zaidi ya tisa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 May
Maandamano Ethiopia:Tisa wauawa
Wanafunzi wapatao tisa wameuawa wakati wa maandamano ya siku kadha nchini Ethiopia
10 years ago
GPL
TISA WAUAWA KATIKA SHAMBULIO MAREKANI
Eneo ambapo shambulio hilo limefanyika. Migahawa ikiwa imefungwa baada ya tukio hilo kutokea. Polisi akiangalia hali ya usalama katika eneo hilo.…
11 years ago
GPL
TISA WAUAWA KATIKA MLIPUKO NIGERIA
WATU zaidi ya tisa wamepoteza maisha wakati kadhaa wakijeruhiwa katika mlipuko mkubwa uliotokea karibu na kituo cha basi eneo la Nyanya nchini Nigeria!
11 years ago
BBCSwahili30 Oct
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
Watu tisa wauawa nchini Marekani
Watu tisa wameuawa na wengine saba kujeruhiwa baada ya kutokea shambulio la risasi katika Chuo kimoja katika jimbo la Oregon
10 years ago
GPL
WATU TISA WAUAWA KANISANI NCHINI MAREKANI
Polisi wakiwa eneo la tukio. ...Wakiweka uzio kwenye eneo hilo lilipotokea shambulio. Mmoja wa waumini wa kanisa Methodist akiwa na simanzi. WATU tisa wameuawa jana…
10 years ago
GPL
TISA WAUAWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI MAREKANI
Hali ya sintofahamu ikitanda katika eneo la Charleston baada ya kutokea shambulio hilo. Askari wakiwa katika harakati za kuimarisha ulinzi eneo la tukio. Barabara zikifungwa. Waumini wa kanisa la AME na watu wa majirani wa eneo la tukio wakiwa katika majonzi baada ya kutokea…
11 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

5 years ago
Michuzi
UHALAWE, KISARAWE
"USHUHUDA WA UTAJIRI NA UTALII WA KIHISTORIA ULIOPO KISARAWE"
Na Jokate Mwegelo, DC Kisarawe
WAUKAE ,Jumamosi ya Julai 28,2018 majira ya saa 10 alasiri, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliniteua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Hakika ilikuwa siku ya kihistoria kwangu, hasa kwenye safari yangu ya kisiasa na uongozi nchini. Uteuzi huu umenipa nafasi ya kutumia na kuonesha vipaji vyangu vya kiuongozi.
Sikuwahi kudhania kuwa ipo siku...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania