Wafundishana kuendesha kilimo bila wataalamu
Kilimo ni sekta muhimu kwa maana kuwa imeajiri zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania. Mojawapo ya matatizo yanayoisumbua sekta hiyo ni kukosekana kwa wagani jamii au waraghabishi (animators) wa masuala ya kilimo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Aug
Ataka wataalamu wa kilimo kusaidia wananchi
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amewataka wataalamu wa kilimo katika halmashauri kuwa karibu na wananchi ili kuwasaidia kuboresha kilimo na mifugo yao.
10 years ago
Mwananchi07 Nov
HATARI: Wengi wanunua sabuni za dawa bila maelekezo ya wataalamu
>Ni jambo lililozoeleka kwa sabuni zenye dawa kuuzwa mitaani, badala ya kwenye maduka maalumu. Uuzwaji huu wa kiholela usiozingatia afya ya mtumiaji unaweza kuwa na athari bila muhusika kufahamu.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-skrh5DAEvMY/U80_Wf7t92I/AAAAAAAF4ZY/J-giBoDMqaE/s72-c/unnamed+(24).jpg)
Wataalamu wa kilimo wilayani Handeni kukutana kuweka mikakati ya mazao mapya yatakayofaa kwa biashara
Na Mohammed Mhina, HandeniWataalamu wa kilimo wilayani Handeni katika mkoa wa Tanga, kesho watakutana kuweka mezani mapendekezo ya mazao mapya yatakayofaa kwa biashara kwa lengo la kuinua kipato cha mwananchi mmoja mmoja wilayani humo. Mkuu wa wilaya hiyo Bw. Muhingo Rweyemamu, amesema leo kuwa katika mkutano huo, wataalamu hao watapitia itifaki mbalimbali zilizofikiwa na kuanisha zao mbadala kwa biashara kati ya korosho na ufututa ama yote mawili badala ya kutegemea mahindi pekee kwa...
10 years ago
VijimamboWANAFUNZI 48 WA CHUO CHA KILIMO NICE DREAM WATELEKEZWA SIKU TANO BILA YA CHAKULA NA CHUO HAKIJASAJIRIWA MBEYA.
Chuo hiki kilizinduliwa mwaka huu na Mh .Frederick Sumaye Waziri mkuu Mstaafu
Moja kati ya mwanachuo aliyezirai kwa njaa akiinuliwa na wasamaria wema kwenda mpatia chakula
Moja kati ya mabweni ya chuo hicho ambapo hulala chini wanafunzi kati ya 10 mapaka 15 kweli taasisi zinazihusika na ukaguzi wa vyuo hivi zipooo?
Hapa wanachuo hao wakipata uji baada ya msamaria mwema kuwapatia uji huo
Wakipata chakula cha mchana baada ya wananchi wa ilemi kuchangia chakula
Baadhi ya wanachama wa chadema...
11 years ago
Michuzi19 Mar
WARSHA YA UBORESHAJI WA KILIMO CHA APPLES MAKETE KWA MAAFISA KILIMO YAFUNGULIWA
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA KILIMO ENDELEVU TANZANIA LAKAMILISHA MTALAA MPYA WA KILIMO,VYUO 29 KUANZA KUUTUMIA
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
SHIRIKA la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) likamilisha mtaala mpya wa kilimo ambao unatarajiwa kuanza kutumia kwenye vyuo vya mafunzo ya kilimo 29 nchini ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha mtaala huo unaendana na mahitaji ya sasa.
Akizungumza na waandishi wa habari za kilimohai wakati wa mafunzo maalumu ya kilimo hicho, Meneja wa Mradi wa SAT Mgeta Daud amesema mtaala huo wameufanikisha kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo kupitia Divisheni ya Mafunzo,...
SHIRIKA la Kilimo Endelevu Tanzania(SAT) likamilisha mtaala mpya wa kilimo ambao unatarajiwa kuanza kutumia kwenye vyuo vya mafunzo ya kilimo 29 nchini ikiwa ni mkakati wa kuhakikisha mtaala huo unaendana na mahitaji ya sasa.
Akizungumza na waandishi wa habari za kilimohai wakati wa mafunzo maalumu ya kilimo hicho, Meneja wa Mradi wa SAT Mgeta Daud amesema mtaala huo wameufanikisha kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo kupitia Divisheni ya Mafunzo,...
11 years ago
GPLMBEYA CITY, ASHANTI WATOKA BILA BILA
Wachezaji wa Mbeya City (kulia) na Ashanti wakiwania mpira huku mvua kali ikiendelea kunyesha kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Mbande nje kidogo ya Jiji la Dar. Steven Mazanda (8) na Deogratius Julius (mwenye mpira) wachezaji wa Mbeya City wakiwania mpira na mchezani wa Ashanti.…
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CEolNwkaNTo/Xud4p7LQT3I/AAAAAAALt6Q/615-yFRQRP8Jd-nT3_nZc-XS9toxJYbVACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200612_144439_2%2B%25281%2529.jpg)
MASAWE AGUSIA BAJETI 2020/2021 NA KUSISITIZA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA KILIMO ILI KUENDANA NA TEKNOLOJIA YA KILIMO CHA KIDIGITAL
![](https://1.bp.blogspot.com/-CEolNwkaNTo/Xud4p7LQT3I/AAAAAAALt6Q/615-yFRQRP8Jd-nT3_nZc-XS9toxJYbVACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200612_144439_2%2B%25281%2529.jpg)
Aidha upande wa suala la uboreshaji wa kilimo kwa kuweka mazingira ya upatikanaji wa vifaa vya kilimo kwa gharama nafuu ikiwa ni...
5 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO NA WAZIRI WA VIWANDA WAONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UFUNGAMANISHAJI SEKTA YA KILIMO NA MIKAKATI YA KUTAFUTA MASOKO
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania