Wafungwa 887 huru
Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 887 wakati wa kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Wafungwa wa Guantanamo waachiwa huru
Marekani.Watu watano waliokuwa wanashikiliwa kwenye Gereza la Guantanamo Bay kwa zaidi ya miaka 13, wameachiwa huru na wamepelekwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
10 years ago
BBCSwahili31 Oct
Wafungwa 6,000 wachiwa huru Marekani
Wafungwa 6,000 wameachiwa huru nchini Marekani katika jitihada za kupunguza msongamano katika magereza.
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
wafungwa sita wa Guantanamo wako huru
Waziri wa ulinzi wa Uruguy amesema wafungwa sita wa gereza la Guantanamo wako huru na wamepewa hadhi ya kuishi Amerika- Kusini.
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Zaidi ya wafungwa 4,000 waachiwa huru Ethiopia
Kufuatia janga la maambukizi ya corona serikali ya Ethiopia imechukua hatua ya kuachia huru wafungwa zaidi ya 4000 huku wageni wakirudishwa kwao.
5 years ago
CCM Blog23 Apr
RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA

5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Coronavirus: Wafungwa zaidi ya 54,000 waachiwa huru Iran kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
Msemaji wa idara ya mahakama amesema wafungwa waliachiwa huru baada ya kuthibitishwa hawana virusi vya corona
5 years ago
BBCSwahili17 May
Virusi vya corona: Idadi ya Wagonjwa wa corona kenya yafikia 887
Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya imeongezeka hadi kufikia 887 baada ya wagonjwa wengine 57 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24.
11 years ago
Mwananchi01 Jul
HURU: Washtakiwa Kesi ya Tabata Dampo huru
>Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa Ilala, John Lubuva na wenzake wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara, wameibuka kidedea katika kesi hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania