wafungwa sita wa Guantanamo wako huru
Waziri wa ulinzi wa Uruguy amesema wafungwa sita wa gereza la Guantanamo wako huru na wamepewa hadhi ya kuishi Amerika- Kusini.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Wafungwa wa Guantanamo waachiwa huru
Marekani.Watu watano waliokuwa wanashikiliwa kwenye Gereza la Guantanamo Bay kwa zaidi ya miaka 13, wameachiwa huru na wamepelekwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Wafungwa 887 huru
Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 887 wakati wa kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika.
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Wafungwa 6,000 wachiwa huru Marekani
Wafungwa 6,000 wameachiwa huru nchini Marekani katika jitihada za kupunguza msongamano katika magereza.
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Zaidi ya wafungwa 4,000 waachiwa huru Ethiopia
Kufuatia janga la maambukizi ya corona serikali ya Ethiopia imechukua hatua ya kuachia huru wafungwa zaidi ya 4000 huku wageni wakirudishwa kwao.
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Watanganyika wako huru?
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Francis Stolla, anasema Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 ni mojawapo ya sheria 40 zilizopendekezwa na Tume ya Nyalali kufutwa kwa vile ni mbaya kwa sasa. Inasikitisha hazifutwi, badala yake Serikali inaendelea kuahidi kuzifanyia kazi.
5 years ago
CCM Blog23 Apr
RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA
![Rais wa Nigeria atoa agizo la kuachiliwa huru wafungwa kwa sababu ya virusi vya Corona](https://media.parstoday.com/image/4bpqfd2283886917dhn_800C450.jpg)
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Coronavirus: Wafungwa zaidi ya 54,000 waachiwa huru Iran kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
Msemaji wa idara ya mahakama amesema wafungwa waliachiwa huru baada ya kuthibitishwa hawana virusi vya corona
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6rVUJH0QUDKU7EiMvu5z8zxfZZajkw7og*CtkjjsBTGrIJ513NCkMNMypxw0b275HPwI8Jz6CDf*nTbuD0xniK*/edward_lowasa.jpg?width=650)
MAKADA SITA WALIOFUNGIWA CCM SASA HURU
Mh. Edward Lowassa. Mh. Bernard Membe. Mh. Stephen Wasira. Mh. January…
9 years ago
BBC07 Jan
Guantanamo detainees sent to Ghana
Two Yemeni detainees held at the controversial US military prison in Guantanamo Bay, Cuba, have been transferred to Ghana, the Pentagon says.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania