Wafungwa 6,000 wachiwa huru Marekani
Wafungwa 6,000 wameachiwa huru nchini Marekani katika jitihada za kupunguza msongamano katika magereza.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili26 Mar
Coronavirus: Zaidi ya wafungwa 4,000 waachiwa huru Ethiopia
Kufuatia janga la maambukizi ya corona serikali ya Ethiopia imechukua hatua ya kuachia huru wafungwa zaidi ya 4000 huku wageni wakirudishwa kwao.
5 years ago
BBCSwahili04 Mar
Coronavirus: Wafungwa zaidi ya 54,000 waachiwa huru Iran kuzuia maambukizi ya virusi vya corona
Msemaji wa idara ya mahakama amesema wafungwa waliachiwa huru baada ya kuthibitishwa hawana virusi vya corona
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Wafungwa 887 huru
Rais Jakaya Kikwete ametoa msamaha kwa wafungwa 887 wakati wa kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika.
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Wafungwa wa Guantanamo waachiwa huru
Marekani.Watu watano waliokuwa wanashikiliwa kwenye Gereza la Guantanamo Bay kwa zaidi ya miaka 13, wameachiwa huru na wamepelekwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
wafungwa sita wa Guantanamo wako huru
Waziri wa ulinzi wa Uruguy amesema wafungwa sita wa gereza la Guantanamo wako huru na wamepewa hadhi ya kuishi Amerika- Kusini.
5 years ago
CCM Blog23 Apr
RAIS WA NIGERIA ATOA AGIZO LA KUACHILIWA HURU WAFUNGWA KWA SABABU YA CORONA
![Rais wa Nigeria atoa agizo la kuachiliwa huru wafungwa kwa sababu ya virusi vya Corona](https://media.parstoday.com/image/4bpqfd2283886917dhn_800C450.jpg)
10 years ago
Mwananchi28 Jun
JK: Nikisamehe wafungwa wanaongezeka 3,000
Rais Jakaya Kikwete, ameelezea kushangazwa na ongezeko la uhalifu nchini kwamba kila anapotoa msamaha kwa wafungwa 4,000 katika sherehe za Muungano, lakini inapofika siku ya Uhuru, Desemba 9, anapewa taarifa kuna ongezeko la wafungwa 3,000.
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Ouattara awasamehe wafungwa 3,000 Ivory Coast
Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara amewasamehe zaidi ya wafungwa 3000 waliokamatwa wakati wa mzozo uliofuatia uchaguzi mkuu miaka mitano iliyopita.
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19 AnandTechView Full coverage on Google News
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania