Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAGENI WALIOITEKA MAREKANI


Rihanna. Hans Mloli na mtandao
WAHAMIAJI wapo kila mahali duniani lakini mara kadhaa huwa ni ngumu sana kung’ara au kuonyesha kipaji chako mbele ya wenyeji na kuwafunika kirahisi. Drake. Lakini wakati mwingine ishu ni kujiamini na kuendelea kupambana kama ilivyotokea…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KILIMANJARO STUDIO YATEMBELEWA NA WAGENI


 Mhe. Balozi Amina Salum Ali akifanyiwa mahojiano siku ya Jumatatu July 27, 2015 ndani ya studio ya Kilimanjaro Beltsville, Maryland na mtangazaji wa mahiri wa Radio Mubelwa Bandio katika kipindi chake cha Jukwaa Langu kinachorushwa Live kila siku ya Jumatatu kuanzia saa 12jioni mpaka saa 2 usiku. Mtangazaji mahiri Mubelwa Bandio akipata picha ya kumbu kumbu na Mhe. Balozi Amina Salum Ali ambaye alishika namba mbili katika kinyang'anyiro cha kubeba bendera ya CCM katika kiti cha Urais. Rose...

 

9 years ago

Mwananchi

Mashirika na wageni wanavyokuza Kiswahili

Nchi za Skandinavia ni Sweden, Denmark, Norway na Finland. Nchi hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu.Tumeshuhudia miradi  mbalimbali ikidhaminiwa na nchi hizi mathalan mradi wa maji uliodhaminiwa na Denmark  kupitia wakala wake wa DANIDA. Mawakala wengine wa nchi hizi ni SIDA kutoka Sweden na NORAD kutoka Norway.

 

11 years ago

Habarileo

Wageni wanavyopata ajira za Watanzania

UWEPO wa vyombo mbalimbali vinavyotoa kibali cha kufanya kazi nchini, umetoa mwanya kwa wageni kuingia nchini na kuajiriwa katika nafasi za kazi, ambazo baadhi hata Watanzania wana uwezo wa kuzijaza. Mwishoni mwa wiki iliyopita wakati wa Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Rais Jakaya Kikwete alisema Serikali imebaini kuwa tatizo hilo la kutolewa kwa vibali kiholela, linatokana na vibali hivyo, kutolewa na taasisi zaidi ya moja.

 

11 years ago

Mwananchi

Padri afia nyumba ya wageni

>Kiongozi wa Kanisa amekutwa akiwa amefariki dunia kwenye nyumba ya kulala wageni jijini Nairobi na kufanya vifo vya kutatanisha vya viongozi wa kidini kufikia wawili wiki hii.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria ya ajira za wageni TZ yapitishwa

Bunge la Tanzania limepitisha mswada wa sheria ya udhibiti wa ajira za wageni wa mwaka 2014

 

10 years ago

Habarileo

Wageni wakaguliwa kubaini ebola

WAGENI wanaoingia visiwani Zanzibar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume, wameanza kukaguliwa kwa kutumia vifaa vya kugundua dalili za ugonjwa wa homa ya ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Durban wageni! hamkani si shwari.

Afrika Kusini inakumbwa na wakati mgumu kutokana na kukithiri kwa visa vya mashambulizi dhidi ya wahamiaji na wageni wa Kiafrika

 

11 years ago

Mwananchi

Runapa yapata wageni kidogo

Licha ya Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) na wadau wengine kutumia fedha nyingi kuimarisha miundombinu na kuboresha huduma kwenye Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (Runapa), bado inapokea wageni wachache.

 

10 years ago

Mwananchi

Fundi afia nyumba ya wageni

Fundi radio maarufu mjini Singida, Daniel Mosha (50), amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa mjini hapa, baada ya kuugua ghafla akiwa amelala katika nyumba ya kulala wageni na rafiki yake wa kike.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani