Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wagombea CCM wavunja rekodi

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal alipochukua fomu jana.IDADI ya wagombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inazidi kuongezeka na jana wagombea wengine sita walichukua fomu na kufanya idadi ya watu wanaowania kumrithi Rais Jakaya Kikwete kufikia 10.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wagombea urais wavunja rekodi

Jakaya-Kikwete1NA MWANDISHI WETU
IDADI ya makada wanaotajwa kujitosa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) sasa inaweza kufikia 30, baada ya wengine wengi kutarajia kujitokeza kuanzia wiki ijayo, MTANZANIA Jumamosi limedokezwa.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili kutoka katika vyanzo mbalimbali vya habari ndani na nje ya CCM zinadai kuwa idadi hiyo inaweza kuongezeka na pengine hata kufikia wagombea 35, kutokana na baadhi ya makada waliohudhuria vikao vya juu vya chama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Gangnam wavunja rekodi ya YouTube

Wimbo huo Umetazamwa mara bilioni mbili. Nambari kubwa ya watu kuwahi kutazama wimbo au chochote kwenye Youtube.

 

9 years ago

Habarileo

JKT Ruvu wavunja rekodi ya Azam FC

MAAFANDE wa JKT Ruvu wamevunja rekodi ya Kocha Stewart Hall kutofungwa katika michuano yoyote baada ya kuifunga Azam FC mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi juzi.

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KINANA KATORO, GEITA WAVUNJA REKODI YA WATU

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.

Komredi Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMBA AITIKISA RUVUMA, UDHAMINI WA WATU 3550 WAVUNJA REKODI

Mh January Makamba akihutubia wanachi na wanachama wa CCM mkoani Ruvuma mara baada ya kabidhiwa fomu yenye sahihi za wanachama waliomdhamini.Mh January Makamba akihutubia wanachi na wanachama wa CCM mkoani Ruvuma ndani ya ukumbi wa ofiswi kuu ya chama hicho mkoani Ruvuma. kuanzia kushoto ni mke January Makamba, Ramona Makamba, katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma, Verena Shumbusho na kulia ni mwenyekiti wa CCM mkoa, Odo Mwisho. Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma, Odo Mwisho akimkabidhi fomu yenye...

 

10 years ago

Vijimambo

JANUARY MAKAMBA AITIKISA RUVUMA,APATA UDHAMINI WA WATU 3550 WAVUNJA REKODI

Mh January Makamba akihutubia wanachi na wanachama wa CCM mkoani Ruvuma mara baada ya kabidhiwa fomu yenye sahihi za wanachama waliomdhamini.   Mh January Makamba na mkewe, Ramona Makamba wakipeana mikono na wanachama wa CCM mkoa wa ruma waliofika katika ukumbi wa  mikutano katika ofisi kuu ya CCM mkoa wa Ruvuma. Mh January Makamba akihutubia wanachi na wanachama wa CCM mkoani Ruvuma ndani ya ukumbi wa ofiswi kuu ya chama hicho mkoani Ruvuma. kuanzia kushoto ni mke January Makamba, Ramona...

 

9 years ago

Bongo5

P-Square wavunja rekodi tena kwa video yao ‘Personally’ kuwa ya kwanza Afrika kufikisha views M50 Youtube

Kundi la P-Square kutoka Nigeria linaendelea kuvunja rekodi waliyoiweka wenyewe kupitia video ya hit single yao ‘Personally’. Rekodi mpya ilivyowekwa na Peter na Paul Okoye wa P-Square, wamekuwa wasanii wa kwanza kutoka Afrika kufikisha views milioni 50 kwenye mtandao wa Youtube kupitia video ya ‘Personally’, . November 2014, P-Square waliweka rekodi kwa mara ya kwanza […]

 

10 years ago

Mwananchi

MAONI : Wagombea watakiwe kuonyesha rekodi ya ulipaji kodi

Kama kuna jambo ambalo linatia doa mchakato mzima wa kuwapata viongozi wa ngazi za juu katika nchi yetu, jambo hilo ni mifumo iliyopo kufumbia macho umuhimu wa wagombea uongozi wa kisiasa katika ngazi hizo kuonyesha rekodi yao ya ulipaji wa kodi za Serikali.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI; REKODI YAKE YA UCHAPAKAZI INAIBEBA CCM

Mhe. John Pombe Magufuli anayegombea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye mkutano wa kampeni. Harakati za uchaguzi nchini zipo katika kipindi muhimu cha kampeni ambapo mwaka huu wa uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, Watanzania wameamka zaidi kwa kufuatilia na kusikiliza sera na vipaumbele vya wagombea mbalimbali wa nafasi zote kutoka vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani