Wahalifu wadaiwa kubuni mbinu mpya kila kukicha.
Na Zacharia Mtigandi,
Manyara.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Kaskazini imesema uhalifu unaosababishwa na mitandao unazidi kuongezeka kutokana na mbinu mbalimbali mpya zinazoibuliwa na wahalifu wanaotumia mitandao hiyo.
Uhalifu wa kimitandao unaoongezeka kwa kasi ni wa kuiba fedha na kusambaza picha chafu za utupu.
Utafiti kutoka TCRA Unaonyesha kuwa Upotevu wa fedha kwa njia ya mitandao ni kwa asilimia 16, kutuma ujumbe yaani sms sisizohitajika ni kwa asilimia 21 na watoa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOa6xQ6Mc*Ir4ioIyWZjfliIsJa7UY9**cauCSZODa63ckodTlhtVApByt7i3*s6bzCxYwmrkinNXgRKEeIGzM-W/wolper.jpg?width=650)
WOLPER: NIMECHOKA KUTUKANWA KILA KUKICHA
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Okwi: Nilikuwa naomba kila kukicha
SIKU chache baada ya mshambuliaji Emmanuel Okwi kuruhusiwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kukipiga Yanga, amesema alikuwa akiomba kila kukicha utolewe uamuzi sahihi kwake. Okwi alizuiliwa na Shirikisho...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/hKWWybVeX_0/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-03nYei4Dqf0/XvXfrVx6znI/AAAAAAALvgs/VbcLV4u9vYcQBId9Hv9FM7oO32Tk_cfTgCLcBGAsYHQ/s72-c/ce56e509-f63d-4b94-aabe-0df5f92ad50e.jpg)
TAASISI ZATAKIWA KUBUNI TEKNOLOJIA MPYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-03nYei4Dqf0/XvXfrVx6znI/AAAAAAALvgs/VbcLV4u9vYcQBId9Hv9FM7oO32Tk_cfTgCLcBGAsYHQ/s640/ce56e509-f63d-4b94-aabe-0df5f92ad50e.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/8ebaee4a-4a26-4205-9f49-225a657234c1.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/d3e63701-da56-4458-b21f-e05d93670709.jpg)
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Simba yaanza na mbinu mpya
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Wauza ‘unga’ waja na mbinu mpya
WAKATI serikali inafanya juhudi kupambana na wasafirishaji na waingizaji wa dawa za kulevya, wafanyabiashara hao wamebuni mbinu mpya ya kuweka ‘unga’ huo kwenye vitabu na viatu na kisha kutuma kama...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Wakulima 2,380 wapewa mbinu mpya
WAKULIMA 2,379 kutoka Wilaya tano hapa nchini wamenufaika na elimu ya teknolojia mpya ya matumizi ya mbegu mpya za mahindi na mbaazi pamoja na kulima kwa kutumia kilimo mseto na...
9 years ago
Mtanzania17 Aug
Madereva wabuni mbinu mpya ya mgomo
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
CHAMA cha Madereva Wafanyakazi Tanzania (TADWU), kimesema madereva nchi nzima watakuwa mapumziko kwa wiki moja au zaidi kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ya udereva.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa TADWU, Rashid Said, alisema baada ya mazungumzo na Kamati ya Kudumu ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wameshindwa kuafikiana na kuona kuwa matajiri ndiyo wana nguvu zaidi kuliko wao waajiriwa.
Alisema kutokana na hali hiyo wameamua kutoendelea na...