Wahamiaji Waafrika waandamana Israel
Wengi wao wakiwa raia wa Eritrea na Sudan, wameghadhabishwa na serikali kuwazuilia wahamiaji haramu kwa mwaka mmoja bila ya kuwafungulia mashitaka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Waafrika tuna mambo
Mwajua mimi sijambo, namshukuru Manani,
Nimeamka kitambo, shafika kibaruani,
Ila kuna kubwa jambo, kuuliza natamani,
Hivi nyie hamjambo, mliopo kisimani,
Nawambia si utani, Waafrika tuna mambo.
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Maisha ya waafrika Brazil
Waafrika wengi waliohamia nchini humo wanasema wanaona raha kuishi Brazil. Cha mno?
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Dk. Shein: Zanzibar wenyewe ni Waafrika
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema Zanzibar ni nchi iliyo katika bara la Afrika ambayo ilipaswa kujikomboa na kuwa huru ili kujitawala wenyewe na si kuendelea kubaki chini...
10 years ago
Vijimambo26 Jan
KWA NINI WAAFRIKA WANAJIBADILISHA NGOZI

Katika mfululizo wa Barua kutoka kwa Waandishi wa habari wa Afrika, Mwandishi na Mtunzi wa Riwaya,Tricia Nwaubani anaangazia mada ya kung'arisha Ngozi.
Kwa kipindi cha miaka michache iliyopita, nilijenga tabia ya kuwauliza waafrika wenzangu kutoka nchi tofauti tofauti wanafikiria bara letu lingekuwaje kama wafanya biashara ya utumwa na Wakoloni wasingeingia Afrika.Baadhi wanaona kuwa jamii za kiafrika zingekuwa na...
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Waafrika waliowahi kushinda tuzo ya Nobel
Kundi la mashirika ya kiraia Tunisia limetunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel. Je, wawajua Waafrika wengine waliowahi kushinda tuzo hiyo kuu?
9 years ago
BBCSwahili21 Oct
Aina mpya ya Malaria yatishia Waafrika
Watafiti wanaonya kuwa aina mpya ya Malaria isiyosikia dawa itahatarisha maisha ya mamilioni ya watu barani Afrika
10 years ago
BBCSwahili01 Jul
Waafrika wanaongoza ulimwenguni kwa uzazi
Wanaume waafrika wanaongoza duniani kwa idadi ya wanaume wanaozalisha wanawake zaidi ya mmoja kulingana na utafiti Uganda inashikilia nafasi ya 4
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Waafrika tunatumia sigara gani Brazil?
Waafrika tunatumia sigara gani Brazil? ni swali ambalo tajiri wa Liverpool, John Henry aliwauliza mabosi wa Arsenal baada ya kuongeza Pauni moja tu katika dau la pauni 40 milioni wakati wakijaribu kumnunua mshambuliaji wao wa kimataifa wa Uruguay, Luis Suarez.
9 years ago
BBCSwahili15 Nov
Miili ya Waafrika 15 yapatikana Sinai Misri
Polisi wa Misri wanasema wamegundua miili ya wa-Afrika 15, ambao inaonekana walipigwa risasi na kuuawa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
21-February-2025 in Tanzania