Wahitimu wa zamani shule ya Mwenge, wakumbuka shule yao
Mwenyekiti wa kikundi cha wahitimu wa shule sekondari Mwenge mwaka 1994,mchungaji wa KKKT, Henry Kimolo,akizungumza kwenye kikao cha pomoja kati ya uongozi wa shule ya sekondari Mwenge na wahitimu wa kidato cha nne mwaka 1994.
Na Nathaniel Limu
[Singida] Jumla ya wanafunzi 164 waliohitimu kidato cha nne mwaka 1994 shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa,kati yao 90 wameunda ‘kikosi kazi’ kwa lengo la kurejesha makali ya taaluma kama ilivyokuwa katika miaka ya nyuma.
Mafanikio hayo ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog27 Dec
Wahitimu wa zamani shule ya Mwenge,wakumbuka shule yao!!
10 years ago
Vijimambo02 Aug
Wahitimu Shule ya Msingi Muhimbili Waisaidia Shule Yao
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fwww.thehabari.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F08%2FIMG_0145.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fwww.thehabari.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F08%2FIMG_0178.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fwww.thehabari.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F08%2FIMG_0025.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
MichuziWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.
10 years ago
Habarileo10 Jun
CRDB yakabidhi madawati 100 shule ya Mwenge
SHULE ya msingi Mwenge iliyopo manispaa ya Shinyanga imepatiwa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni kumi kutoka benki ya CRDB .
9 years ago
MichuziMKUTANO WA KAMPENI WA KINANA MBEYA MJINI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MWENGE
10 years ago
Michuzi27 Mar
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Wanaenaboishu kukutana kupanga mikakati ya kusaidia shule yao
Mwenyekiti wa Muda wa Jumuiya ya Wanafunzi waliowahi kusoma katika shule ya Sekondari Enaboishu Renalda Shirima akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu mkutano wao wa kwanza utafanyika katika matawi mawili ya mkoa wa Arusha na Dar es salaam kwa ajili ya kuangalia fursa mbalimbali ambazo wanaweza kushirikiana katika kuleta maendeleo ya taaluma katika shule yao ya zamani kwa kuboresha mazingira ya wanafunzi na walimu ya kujifunzia na kufundishia. Kushoto ni Afisa...
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Shule za sekondari zaidi ya 30 kufaidika na mradi wa vitabu wa Airtel Shule Yetu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa “Airtel Shule Yetu” kwa mwaka 2014/15, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mradi huu wa vitabu umeweza kufikia shule zaidi ya 1,000 toka ulipoanza miaka kumi iliyopita. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania,...
10 years ago
MichuziShule ya sekondari ya Kutukutu Morogoro wafaidika na mradi wa "Airtel Shule Yetu"
Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni mbili umekabidhiwa hivi karibu na wawakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel ikiwa ni mpango wa SHULE YETU unaosimamiwa na kampuni hiyo.
Akipokea msaada huo kwa niaba ya walimu na wanafunzi wa shule hiyo mkuu wa shule ya sekondari Kutukutu Finyilise Elias amesema,...