Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahitimu wa zamani shule ya Mwenge,wakumbuka shule yao!!

IMG_1624

Mwenyekiti wa kikundi cha wahitimu wa shule sekondari Mwenge mwaka 1994,mchungaji wa KKKT,Henry Kimolo,akizungumza kwenye kikao cha pomoja kati ya uongozi wa shule ya sekondari Mwenge na wahitimu wa kidato cha nne mwaka 1994. Na Nathaniel Limu [Singida] Jumla  ya wanafunzi 164 waliohitimu kidato cha nne mwaka 1994 shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa,kati yao 90 wameunda ‘kikosi kazi’ kwa lengo la kurejesha makali ya taaluma kama ilivyokuwa katika miaka ya nyuma.   Mafanikio hayo ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wahitimu wa zamani shule ya Mwenge, wakumbuka shule yao

IMG_1624

Mwenyekiti wa kikundi cha wahitimu wa shule sekondari Mwenge mwaka 1994,mchungaji wa KKKT, Henry Kimolo,akizungumza kwenye kikao cha pomoja kati ya uongozi wa shule ya sekondari Mwenge na wahitimu wa kidato cha nne mwaka 1994.

Na Nathaniel Limu

[Singida] Jumla  ya wanafunzi 164 waliohitimu kidato cha nne mwaka 1994 shule ya sekondari ya Mwenge mjini hapa,kati yao 90 wameunda ‘kikosi kazi’ kwa lengo la kurejesha makali ya taaluma kama ilivyokuwa katika miaka ya nyuma.

Mafanikio hayo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Wahitimu Shule ya Msingi Muhimbili Waisaidia Shule Yao

Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza. Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akionesha sehemu ya msaada wa viti na meza na ofisi iliyokarabatiwa na umoja wao. Mkuu wa Shule ya Msingi Muhimbili wa sasa, Dafrossa Asenga (katikati) akizungumza kuwakaribisha wageni katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa viti na meza...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.

Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe ili kufungua Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo Mwaka 1988, pamoja na kiti na meza ya kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978. Walimu wa Shule ya Msingi Muhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na meza na...

 

10 years ago

Habarileo

CRDB yakabidhi madawati 100 shule ya Mwenge

Askofu Mkuu wa KKKT Dk Alex Malasusa (kushoto) akipokea mchango kutoka kwa mtoto ambaye alijitokeza kuchangia ujenzi wa shule ya msingi ya kanisa hilo Misioni ya Kigoma mwishoni mwa wiki iliyopita. (Picha na Fadhili Abdallah).SHULE ya msingi Mwenge iliyopo manispaa ya Shinyanga imepatiwa msaada wa madawati 100 yenye thamani ya Sh milioni kumi kutoka benki ya CRDB .

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KAMPENI WA KINANA MBEYA MJINI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MWENGE

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaombea kura wagombea wa nafasi za Urais , Ubunge na Udiwani.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwaambia Magufuli ni mchapakazi na yupo tayari kuleta mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwataka vijana kutohadaika na kudanganywa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanaenaboishu kukutana kupanga mikakati ya kusaidia shule yao

1A

Mwenyekiti wa Muda  wa Jumuiya ya Wanafunzi waliowahi kusoma katika shule ya Sekondari Enaboishu Renalda Shirima akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu mkutano wao wa  kwanza utafanyika katika matawi mawili ya mkoa wa Arusha na Dar es salaam kwa ajili ya kuangalia fursa mbalimbali ambazo wanaweza kushirikiana katika kuleta maendeleo ya taaluma katika shule yao ya zamani kwa kuboresha mazingira ya wanafunzi na walimu ya kujifunzia na kufundishia. Kushoto ni Afisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Shule za sekondari zaidi ya 30 kufaidika na mradi wa vitabu wa Airtel Shule Yetu

SONY DSC

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa “Airtel Shule Yetu” kwa mwaka 2014/15, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mradi huu wa vitabu umeweza kufikia shule zaidi ya 1,000 toka ulipoanza miaka kumi iliyopita. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (katikati), na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.

SONY DSC

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania,...

 

10 years ago

Michuzi

Shule ya sekondari ya Kutukutu Morogoro wafaidika na mradi wa "Airtel Shule Yetu"

Uongozi wa shule ya sekondari ya Kutukutu iliyopo wilayani kilosa mkoani Morogoro, umeishukuru kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa msaada wa vitabu vya masomo ya sayani.
Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni mbili umekabidhiwa hivi karibu na wawakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel ikiwa ni mpango wa SHULE YETU unaosimamiwa na kampuni hiyo.
Akipokea msaada huo kwa niaba ya walimu na wanafunzi wa shule hiyo mkuu wa shule ya sekondari Kutukutu Finyilise Elias amesema,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani