Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahoji Mbowe kwenda Ubungo

Dar es Salaam. Kitendo cha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwenda katika Kituo cha Mabasi cha Ubungo (UBT) kuwashawishi madereva kusitisha mgomo kimepokewa kwa hisia tofauti na wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

ABILIA WAKIWA STENDI KUU YA MABASI YA KWENDA MIKOANI (UBUNGO)

Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam wakisubilia usafili wa kuelekea Mikoa mbalimbali, leo.
Abilia wakiwa katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, wakiimalisha usalama wa malizao, leo.Abilia wakiwa wamejipumzisha chini ya mti katika Stendi Kuu ya mabasi ya kwenda mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam leo.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive siku ya pili mgomo wa Madereva;Mbowe wa Chadema atinga Ubungo na kushangiliwa

mbowe

Mbunge wa Hai na Mkuu wa Kambi ya upinzani Bungeni, Mh. Freeman Mbowe akiwasili kwenye ofisi za madereva Ubungo muda huu huku akishangiliwa…

Na Andrew Chale, Modewji blog

Mgomo ambao  ulianza jana na kuendelea hadi leo Mei 5, umechukua sura mpya baada ya hali tete ya kutoelewana baina ya viongozi wa madereva na baadhi ya viongozi wa Serikali ikiwemo jeshi la Polisi nchini, akiongozwa na Kamanda Mpinga, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambapo viongozi hao na madereva licha ya...

 

5 years ago

Michuzi

BREAKING NEWZZZZ: MBOWE,WENZAKE WATAKIWA KULIPA FAINI YA SHILINGI MILIONI 350 AU KWENDA JELA MIEZI MITANO

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Freeman Mbowe na wenzake nane kulipa faini ya Shilingi milioni 350 ama kutumikia kutumikia kifungo cha miezi mitano gerezani baada ya Mahakama kuwakuta kila mmoja na hatia katika kesi ya uchochezi yenye mashtaka 12 iliyokuwa inayowakabili.

Hukumu hiyo iliyochukua takribani saa nne imesomwa na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba amesema upande wa mashtaka unaweza kuthibitisha pasipo kuacha shtaka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Neno la leo: kwenda kupiga kura ni kwenda kuchagua

0,,16820284_303,00

Blogger Maggid Mjengwa.

Ndugu zangu,

Leo ni siku ya kupiga kura kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Huu ni Uchaguzi Muhimu sana katika nchi. Uchaguzi huu ndio MSINGI wa siasa kubwa za Kitaifa.

Siasa ya nchi inaanzia kwenye Mtaa, Kijiji na Kitongoji. Na hakika, siku ya leo ilipaswa uwe ni uchaguzi pia kwa ngazi ya Manispaa na Halmshauri, kwa maana ya kuwachagua Madiwani.

Inahusu Serikali za Mitaa ( Local Goverment). Nimepata kuandika, kuwa Mahtama Ghandhi alipata kusema, kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahoji umeme utakuja lini

Wakazi wa Vijiji vya Nanyamba na Mpapura Wilaya ya Mtwara mkoani hapa, wamelitaka Shirika la Ugavi wa Umeme (Tanesco) kuharakisha mpango wa usambazaji umeme ili kuongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kuboresha huduma za kijamii vijijini humo.

 

9 years ago

Raia Mwema

Mbeya wahoji uadilifu viongozi wa Ukawa

MKUTANO wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) uliofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Lua

Felix Mwakyembe

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani wahoji sifuri sekondari za kata

MADIWANI wa Halmashauri ya Ushetu, wilayani Kahama, wamehoji  watoto wanaosoma na kumaliza katika shule za sekondari za kata huku wengi wao wakiambulia kupata alama sifuri na kusababisha kubaki vijijini bila...

 

11 years ago

Habarileo

Wawakilishi Zanzibar wahoji Baraza lao

Katibu wa Kamati ya Wawakilishi wa CCM, Salmin Awadh SalminWAKATI Bunge Maalumu la Katiba, likitarajiwa kukutana leo kuamua kura gani itumike katika uamuzi wa mwisho wa kupitisha Katiba itakayopendekezwa kwa wananchi, wawakilishi wanachama wa CCM, wameibuka na kuhoji maoni ya Baraza la Wawakilishi kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wahoji utata upigaji kura

Pamoja na Bunge Maalumu la Katiba kupitisha kanuni zote 87 za uendeshaji wake, bado kuna sintofahamu miongoni mwa wananchi kuhusu nini kilikubaliwa katika utaratibu wa upigaji wa kura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani