Wahuni wampiga chenga Rais Magufuli
*Wamkimbia Dar kukwepa kodi , watimkia bandari za Tanga na Mtwara
NA MWANDISHI WETU
MTANDAO wa wafanyabiashara wasio waaminifu unaojihusisha na ukwepaji kodi wa bidhaa mbalimbali zinazoingizwa nchini kupitia bandari, umekimbia Dar es Salaam na kuhamishia shughuli zake kwenye mikoa ya Tanga na Mtwara.
Taarifa za uhakika zilizolifikia MTANZANIA Jumamosi zimeeleza kuwa wafanyabiashara hao na mawakala wao wameondoa maskani yao kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kuyapeleka bandari za Tanga na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Nov
Wahuni wampiga Jaji Warioba Dar
Fredy Azzah na Shabani Matutu, Dar es Salaam
MDAHALO wa kujadili Katiba inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere, jana ulivunjika baada ya kutokea vurugu ambako Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, alipigwa vibao shingoni na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa CCM.
Hali hiyo ilijitokeza kwenye Hoteli ya Blue Pearl iliyopo Ubungo Dar es Salaam, baada ya kuvunjika mdahalo huo uliokuwa umehudhuriwa na mamia ya watu, wengi wao wakiwa ...
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Magufuli alivyopiga chenga panga la CCM
9 years ago
GPLJK, MAKAMBA WAMPIGA TAFU DK MAGUFULI KAMPENI MOGOGORO
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Magufuli alivyopiga chenga panga la CCM
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-PYgpuauzhPU/Xuw1t-nDWvI/AAAAAAALug0/OSHjJMNQffs8OWeNDtOKdpMNQTjBXYPYwCLcBGAsYHQ/s72-c/F87A4420-2-768x435.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE KUAPISHWA RAIS MPYA WA BURUNDI
![](https://1.bp.blogspot.com/-PYgpuauzhPU/Xuw1t-nDWvI/AAAAAAALug0/OSHjJMNQffs8OWeNDtOKdpMNQTjBXYPYwCLcBGAsYHQ/s640/F87A4420-2-768x435.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bujumbura Nchini Burundi kwa ajili ya kumuwaklilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye shughuli ya kuapishwa Rais Mpya wa Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye leo Juni 18,2020. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Burundi Mhe. Gasten Sindimwa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/F87A4435-2-1024x600.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Apr
Wahuni mitandaoni kubanwa
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imependekeza kwa Serikali iongeze adhabu ya faini kutoka Sh milioni tatu na kifungo kisichopungua miezi sita na kuwa faini ya Sh milioni tano na kifungo kisichopungua miezi sita kwa wale wote watakaotuma katika mtandao taarifa za uongo.
11 years ago
BBCSwahili16 Feb
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
Mashabiki wampiga Mwenyekiti Lipuli FC
MWENYEKITI wa Lipuli FC ya mjini hapa, Abuu Changawa ‘Majeki’, juzi alifanyiwa vurugu na mashabiki wa soka kwa kumshushia kipigo kwa madai ya kuhujumu timu na kushindwa kufanya vizuri katika...
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Genge la wahuni linaloogopwa Nigeria