Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAHUSIKA TAA HII ILIYOANGUKA HAMJAIONA SINZA-AFRIKA SANA?

Nguzo ya taa za Barabara ya Shekilango maeneo ya Sinza-Afrika Sana  iliyoanguka muda mrefu uliopita. TAA za barabarani ni moja ya kodi za wananchi, na zimewekwa kwa ajili ya ulinzi, usalama, kuongeza ajira pamoja na kupendezesha mji. Takribani mwezi sasa mtandao wa GPL umekuwa ukiiona taa ikiwa imeanguka chini maeneo ya Sinza Afrika Sana, huku  sehemu ya taa yake ikiwa haipo na kubakia nguzo tu. Je,  wahusika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BAMAGA -AFRIKA SANA SINZA TAABAN KWA MAFURIKO.!

Pichani ni sehemu ya barabara kutoka Bamaga kuelekea Afrikasana Sinza jijini Dar ikiwa hoi bin taaaban baada ya kufunikwa na maji kufuatia mvua ambazo zimekuwa zikiendelea kunyesha jijini,aidha mafuriko hayo yamekuwa yakisababishwa pia na mitalo mingi ya eneo hilo kuzibwa na takataka zinazotupwa holela,matokeo yake maji yamekuwa yakikosa muelekeo.Idara husika wanapaswa kulifanyia kazi ipasavyo eneo hilo kwani limekuwa ni kero kubwa kwa wanaotumia barabara hiyo kila wakati kwenda kwenye...

 

10 years ago

GPL

HALI ILIVYOKUWA ENEO LA SINZA-AFRIKA SANA BAADA YA KUNYESHA MVUA KUBWA JANA

Wananchi wakivushwa na lori eneo la Sinza-Afrika lililojaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana. Magari yakipita kwa tabu eneo hilo kutokana na mvua kubwa zinazoendea kunyesha. (Picha na Makongoro Oging /…

 

10 years ago

GPL

NGUZO YA TAA BARABARANI ILIYOANGUKA DAR YAFUMBIWA MACHO NA MAMLAKA

Taa iliyoangukia kwenye ukuta baada ya kugongwa. Mafuta yaliyomwagika yakiwa eneo la tukio ambalo huenda ni…

 

5 years ago

Michuzi

BODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19





Na Bahati Mollel,TAA

BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.

Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu...

 

5 years ago

CCM Blog

BODI YA USHAURI TAA YAIANGUKIA SERIKALI ISAIDIE TAA KATIKA KIPINDI HIKI CHA JANGA LA COVID 19



Na Bahati Mollel,TAA
BODI ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), imeiangukia serikali iisaidie TAA kuigharama huduma mbalimbali za uendeshaji kwenye viwanja vya ndege kutokana na kuathiriwa kwa asilimia 100 na ugonjwa wa homa kali ya mapafu (COVID19), inayoambukizwa na virusi vya corona.
Mwenyekiti wa MAB, Dkt. Masatu Chiguma, ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki kwenye kikao cha dharura cha Bodi hiyo, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Watu Mashuhuri...

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MISS SINZA KUANZA MEI 5 KWENYE UKUMBI WA MEEDA, SINZA

Prisca Clement (katikati) mara baada ya kushinda taji la vipaji katika mashindano ya Miss Tanzania 2013. Na Mwandishi Wetu
MAZOEZI ya warembo watakaowania taji la urembo la Sinza, Miss  2014 yataanza Mei 5 kwenye ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori na Lufungila jijini Dar es Salaam. Taji la Miss Sinza linashikiliwa na Miss Tanzania, Prisca Clement alimaliza katika hatua ya 10 bora katika mashindano ya mwaka jana ya Miss...

 

11 years ago

Michuzi

Redd's Miss Sinza 2014 Kufanyika kesho Meeda Club Sinza

Mratibu wa shindano la Redd's miss Sinza 2014 Tinna Matutuna katikati akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa Meeda Night Club sinza juu ya Shindano la Redd's Miss Sinza litakalofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Meeda Night Club kwa kiingilio cha 5,000 kwa viti vya kawaida na 10,000 kwa Viti Maalum .kushoto na kulia ni baadhi ya warembo wa shindano hilo. =======  ====== ===== MNYANGE atakayefanikiwa kuibuka mrembo wa kitongoji cha Sinza ‘ Redds Miss Sinza  2014’...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wajua picha hii iliyovuma sana mtandaoni ilitoka wapi?

Picha hii ya mvulana anayeonekana kujiuliza maswali si haba akilini mwake akiwa na Mzungu imesambazwa mara nyingi sana mtandaoni.

 

10 years ago

Vijimambo

Hii hatari Sana BVR,mtu mmoja vitambulisho viwili

Hii imekaaje wadau
Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani