Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waimbaji Tamasha la Pasaka kupigwa msasa

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) na Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, kwa pamoja wanatarajia kutoa semina kwa waimbaji washiriki wa Tamasha la Pasaka linalotarajia kuanza Aprili 11...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAIMBAJI KUTOKA UINGEREZA WATUA KUNOGESHA TAMASHA LA PASAKA JUMAPILI UWANJA WA TAIFA.

 Nyakwesy Mujaya akimpa au mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Uingereza, Ifeanyi Kelechi.Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Uingereza, Ifeanyi
Kelechi, akipokea ua kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya Msama Promotions, Nyakwesy Mujaya, mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam le kwa ajili ya kutumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka. Kulia ni Mwenyekiti wa tamasha hilo, Alex Msama. Msama akipeana mkono na Ifeanyi Kelechi. HABARI PICHA ZAIDI...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msama Promotions kuwapiga msasa waimbaji

KAMPUNI ya Msama Promotions ambayo ndiyo mwandaaji wa Tamasha la Pasaka, hivi karibuni inatarajiwa kuandaa semina kwa ajili ya waimbaji walioteuliwa kuimba katika tamasha hilo. Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchumi wa Afrika kupigwa msasa Msumbiji

Shirika la fedha duniani, IMF, leo linazindua kongamano la ngazi ya juu kuzungumzia maswala ya ukuaji wa Uchumi barani Afrika.

 

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waimbaji Tamasha la Krismasi waanza kutua 

WAIMBAJI wa kimataifa wa nyimbo za injili ambao watahudumu katika Tamasha la Krismasi litakalozinduliwa Desemba 25 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wameanza kuwasili tayari kuwapa raha wapenzi,...

 

10 years ago

Michuzi

WAIMBAJI WA TAMASHA LA KRISMAS MKOANI MBEYA WAELEZEA MAANDALIZI YAO

  1Mwimbaji wa muziki wa injili Tumaini Njole akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa Tamasha la Pasaka litakalofanyika sikukuu ya Krismas tarehe 25/12/2014 mkoani Mbeya wakati alipozungumzia maadalizi ya tamasha hilo na jinsi alivyojipanga kukonga mioyo ya mashabiki wa nyimbo za injili mkoani Mbeya , Tamasha hilo linatarajiwa kuanza muda wa Saa nane mchana viingilio vikiwa ni shilingi 5000 kwa watu wazima na watoto shilingi 2000, Katika...

 

10 years ago

GPL

WAIMBAJI WA TAMASHA LA KRISMASI MKOANI MBEYA WAELEZEA MAANDALIZI YAO‏

  Mwimbaji wa muziki wa Injili Edson Mwasabwite akifafanua jambo wakati wa mkutano huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam, Kushoto ni mwimbaji Joshua Mlelwa na katikati ni Mwimbaji Tumaini Njole. Mwimbaji Joshua Mlelwa akielezea maandalizi yake wakati wa Tamasha la Pasaka litakalofanyika mkoani…

 

9 years ago

Michuzi

WAIMBAJI NYIMBO ZA INJILI WAAOMBA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI

 Mwimbaji  wa nyimbo za Injili Upendo Nkone (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika ofisi za  Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha kuombea amani ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama  kuhusiana na kushiriki katika tamasha la kuombea amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu. Kulia ni Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu na kustoto ni Christophe Mwanganyira.Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani