Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAITARA AWATAKA WATANZANIA KUWA NA UZALENDO ULIOPITILIZA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara, akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema.

Na Richard Mwaikenda, Ukonga.

NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara, amewataka Watanzania kuwa na Uzalendo uliopitiliza katika mapambano dhidi ya ugonjwa hatari wa Corona.

Amesema wawe makini na wageni wanaoingia nchini kupitia mipaka...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo awataka Waganga wa tiba asili na machifu wa Mkoa kuwa mfano katika mapambano dhidi ya Corona


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa maagizo kwa Machifu na Waganga wa Tiba asili wa mkoa wa Rukwa (hawapo pichani) katika kikao kifupi alichokutana nao ili kuwaelimisha juu ya ugonjwa wa CoronaMkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (aliyekaa katikati) pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Benard Makali (Kushoto) na kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Dkt. Emanuel Mtika katika Picha ya pamoja na baadhi ya Waganga wa Tiba Asili wa mkoa wa Rukwa. Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

DC MSAFIRI AWATAKA WATANZANIA KUENDELEA KUUNGANA KATIKA MAPAMBANO DHINI YA VIRUSI VYA CORONA

Na Amiri Kilagalila, Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amesema watanzania wataendelea kuungana katika mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) na kamwe hawawezi kuacha ugonjwa huo ukatawala.

Ruth Msafiri ameyasema hayo wakati akiahirisha ibada ya kufunga na kuombea maambukizi ya virusi vya COVID-19 iliyofanyika kwa wiki moja na waumini wa kanisa la Tanzania assemblies of God (T.A.G) Melinze lililopo halmashauri ya mji wa Njombe mkoani humo.

“Corona imeingia...

 

5 years ago

Michuzi

WATANZANIA WENYE UWEZO WATAKIWA KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA



Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kushoto akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada huo

Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kulia akimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto wakati wa makabidhiano ya msaada huo

Mkurugenzi wa Kiwanda cha Husseini Plastic Industries Limited cha Jijini Tanga, Yusuph Hassanali kulia...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Serikali, sayansi na sintofahamu ya mapambano dhidi ya corona Tanzania

Wakati serikali zote duniani zimeendelea kujifunza namna sahihi ya kupambana na ugonjwa huu, zipo zinazosifika na zile zinazokosolewa kwa namna zinavyopambana na Corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Imani za kidini zinasaidia au zinadidimiza mapambano dhidi ya corona?

Katikati ya mwezi Machi mwaka huu nchi ya Malaysia ilifunga mashule, ofisi na sehemu za ibada katika juhudi za kupambana kuenea virusi vya corona, baada ya kubaini mikusanyiko katika misikiti ilichangia pakubwa kuripuka kwa ugonjwa huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je, dawa za mitishamba zina nafasi katika mapambano dhidi ya corona?

Dawa ya asili ya Covid-19 ambayo imetengenezwa nchini Madagascar na kutangazwa na rais Andry Rajoelina imezua mijadala kuhusu matumizi ya dawa za mitishamba barani Afrika.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Jinsi kinyesi cha kuku kinavyotumika mapambano dhidi ya corona

Jinsi Sweden inavyotumia mbinu ya ajabu kupambana na maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mapambano dhidi ya Corona DRC

Makala inayoonyesha kwa picha changamoto ambazo raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wanakabiliana nazo katika mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko kwa mwaka 2020.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani