Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajasiriamali wasaidiwa vifaa vya Sh24ml

Wajasiriamali 80 kutoka Halmashauri za Wilaya ya Chamwino na Manispaa ya Dodoma wamepewa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya Sh24 milioni kutoka Shirika la la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) na mradi wa Tools for Self Reliance (TFSR) kutoka Uingereza

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali wasaidiwa mafunzo, vifaa Moshi

Vikundi vya wanawake wa kata tofauti za Mkoa wa Kilimanjaro wamefanikiwa kupata mafunzo ya ujasiriamali kama hatua mojawapo ya kuwakwamua kiuchumi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali wa nyuki wapewa vifaa kazi

MFUKO wa Hifadhi ya Misitu Tanzania (TaFF) kwa kushirikiana na Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Kanda ya Kitapilimwa (MJUMIKK) umewakabidhi wajasiriamali mashine sita za kukamua asali na mizinga 20. Vifaa...

 

5 years ago

Michuzi

Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya

Vyombo vya habari vya Morocco vimeripoti kwamba, maafisa wa nchi hiyo wamenasa maelfu ya maski za masuala ya tiba zilizokuwa zikitoroshwa na kupelekwa Ulaya.

Gazeti la al Quds al Arabi linalochapishwa London limeripoti kuwa, raia mmoja wa Uingereza amekamatwa katika uwanja wa ndege wa Agadir huko kusini magharibi mwa Morocco akijaribu kutorosha maski elfu 16 na kuzipelekea Manchester kwa njia za magendo.

Vilevile maafisa wa forodha wa Morocco wamenasa shehena nyingine iliyokuwa na vifaa vya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: White House yakiri Marekani haina vifaa vya kutosha vya kupima virusi vya corona

New York imetoa wito kwa serikali kutuma vifaa zaidi vya kupima virusi vya corona katika jimbo hilo huku visa vya maambukizi vikiongezeka.

 

10 years ago

Habarileo

Kanda zaagizwa kutumia vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviSERIKALI imeagiza kila kanda kuwa na vifaa vya kisasa vya kupimia ardhi ambavyo vitawekwa katika halmashauri mbalimbali nchini, ili viweze kutumiwa na vijana wanaohitimu vyuo wenye taaluma ya masuala ya ardhi.

 

5 years ago

Ykileo

NAMNA BORA YA KULINDA VIFAA VYA TEHAMA VYA WATOTO



KWA UFUPI: Kutokana na ukuaji wa teknolojia pamoja na muunganiko wa vitu vingi katika mtandao (IoT) vifaa vingi vya watoto vimekua mhanga mkubwa wa uhalifu mtandao – Hii imepelekea kuchukuliwa kwa hutua mbali mbali za kulinda watoto mitandaoni. Andiko hili lina angazia namna bora ya kulinda vifaa vya watoto vya TEHAMA.

-----------------------------------------


Kumekua na matukio kadhaa yaliyo husisha kuingiliwa kimtandao (kudukuliwa) kwa vifaa vinavyo tumiwa na watoto huku wahalifu mtandao...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Hakuna vifaa vya kugundua ‘unga’ viwanja vya Ndege’

 Mwakilishi wa Viti Maalumu, Marina Joo Tomasi amesema Uwanja wa Ndege wa Zanzibar, hauna mashine za kutambua dawa za kulevya na akaitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kuachana na kujenga vituo kurekebisha tabia na badala yake wazidishe ulinzi bandarini na kwenye viwanja vya ndege.

 

5 years ago

CCM Blog

NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE VYA SH. MIL 15 WILAYA YA UBUNGO

  Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam - Badru Idd (kushoto) akimkabidhi msaada wa madawati, viti na meza 150 Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia) katika Shule ya Sekondari Kibamba. Vifaa hivyo vyenye thamani ya shilingi milioni 15 vimetolewa na NMB kuzisaidia Shule tatu za Manispaa ya Ubungo ambazo ni Kibamba, Kinzudi Sekondari pamoja na Shule ya Msingi Makuburi Jeshini zote za jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori (kulia mwenye suti)...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba

Na: Moh’d Said Shule ya msingi ya mtemani Wingwi iliyoko Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, imekabidhiwa vifaa vya kisasa kwa ajili ya ujenzi na uanzishaji wa maktaba ya kisasa (Digital Library) inayaotarajiwa kufunguliwa hivi […]

The post Shule ya msingi Mtemani Wingwi yapatiwa vifaa vya kisasa vya maktaba appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani