Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajawazito waishio vijijini mkoani Tabora hukimbilia kwa waganga

Zaidi ya nusu ya mama wajawazito waishio vijijini mkoani Tabora hukimbilia kwa waganga wa jadi na kuacha kuhudhuria kliniki.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

DC aagiza kukamatwa waganga wa jadi wanaosaidia wajawazito

Venance MwamottoMKUU wa Wilaya Kibondo, Venance Mwamotto ametoa agizo kukamatwa kwa waganga wa kienyeji wanaowapa wajawazito dawa za kuwasaidia kujifungua.

 

5 years ago

Michuzi

RC TABORA ASIMAMISHA LIKIZO ZA WAGANGA NA WAUUGUZI KUTOA ELIMU YA KUPAMABANA NA CORONA




Zoezi la upulizaji wa dawa kwenye mabasi katika Stendi kuu ya Nzega Mkoani Tabora ukiendelea kama sehemu ya mkakati wa kukabiliana na Virusi vya Corona.

………………………………………………………MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amesimamisha kwa muda likizo za watumishi wakiwemo wa Idara za Afya ili waendelee kuunganisha nguvu katika kusaidia jamii kwenye kampeni za mapambano ya ugonjwa wa Covid -19.

Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwakuwepo na wataalamu wa kutosha katika maeneo yote ambao wataendelea kutoa...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TTCL YAZINDUA MNARA WA MAWASILIANO, WAISHIO VIJIJINI KUNUFAIKA ZAIDI

Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Chunya ambaye pia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Chunya, Sosthenes Mayoka akikata utepe kuashiria ufunguzi wa sherehe za kuzindua mnara wa simu ya kampauni ya TTCL katika kijiji cha Shoga wilayani Chunya.
Mkurugenzi wa Kanda ya TTCL akiungana na kikundi cha sanaa kucheza ngoma ya asili ya wakazi wa kijiji cha Shoga katika sherehe za uzinduzi wa mnara wa mawasiliano.Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Chunya ambaye pia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Chunya(DAS),...

 

9 years ago

StarTV

Serikali mkoani Tabora yanyooshewa kidole kwa Kutoendelezwa Mbuga Ya Wembere

Wakazi wa Igunga Mkoani Tabora wameitupia lawama serikali kwa kutothibiti Mbunga ya Wembere kwa kuendeleza mipaka na kuweka ulinzi wa kutosha hali ambayo imechangia wanyama  kutoweka katika mbuga hiyo.

Wamesema mbuga ya Wembere  ingeweza kuchangia  kipato  kwenye Halmashauri hiyo  kwa watalii kutembelea eneo hilo.

Aidha wameeleza kuwa sababu kubwa za kutoweka kwa wanyama katika mbuga hiyo ni uwindaji haramu licha  ya kutokea kwa mvua kubwa mwaka 1998  ambayo pia inadaiwa ilikua chanzo cha...

 

10 years ago

Dewji Blog

SNV yazindua ushirikiano na FINCA kuanziasha mradi wa kuboresha maisha ya vijana 20500 waishio vijijini

1

Mkuu wa Huduma za Kibenki wa FINCA Tanzania, Bwana Gershom Mpangalah akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa kusaidia vijana wa OYE unaofanywa kati ya FINCA na shirika la maendeleo la SNV. Wanaotazama kutoka kushoto ni Mkuu wa Mradi OYE Upande wa Vijana Bwana Awadh Milas, Mkuu wa Miradi ya OYE Tanzania, Mozambique na Rwanda, Bwana Roy Van Der Drift na Mkurugenzi Mtendaji wa FINCA Bwana Ed Greenwood.

Na Mwandishi wetu

Shirika la Maendeleo la Kiholanzi SNV na...

 

11 years ago

Michuzi

BAISKELI MKOMBOZI WA USAFIRI KWA AKINA MAMA WENGI WA NZEGA MKOANI TABORA.

Akinana Mama wa Nzega wakiwa na usafiri wao wa baiskeli wakienda kwenye shughuli zao,kama waoenekanavyo pichani mara baada ya kunaswa na Globu ya Jamii wilayani humo.Akina mama wengi wilayani humo hutumia chombo hicho (baiskeli) kama sehemu yao ya usafiri.

 

10 years ago

Michuzi

UTT AMIS WAFANYA ZIARA MKOANI TABORA NA KUTOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWA WADAU MBALIMBALI

UTT AMIS inaendesha mifuko mitano ya uwekezaji wa pamoja ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa Watoto, Mfuko wa Kujikimu na Mfuko wa Ukwasi yote yenye jumla ya thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 235. 
Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu,vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitaji yao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko(UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedha hizo katika masoko ya fedha na masoko ya mitaji kulingana na waraka wa...

 

10 years ago

GPL

WATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.

Bw Kisasi mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Botswana akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi. Bi Rosemary Chambe Jairo Mkurugenzi kutoka wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa anaeshughulikia dawati la diaspora akifungua rasmi mkutano huo.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana amaliza ziara yake Mkoani Singida kwa kuzuru Singida Vijijini

1. Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Kinana wakati wa mapokezi katika kata ya Msisi, Singida Vijijini,  en

Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama,  katika kata ya Msisi, Singida Vijijini, jana Mei 26, 2014.

2. Kinana akivishwa mgolole  Kijiji cha Msisi kabla ya kufungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata hiyo, Singida Vijijini

Wanachama wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi wakimvalisha mgolole Kianana kabla ya kufungua tawi la Wazazi la Kata hiyo.

3. Kinana akifungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata ya Msisi, Singida Vijijini

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawi la Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi, wilaya ya Singiga Vijijini.

4. Kinana na Nyalandu wakishiriki kuvuna mtama shamba la mfano la mtama Kata ya  Mtinko

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani