Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajawazito wanachanganywa na wagonjwa wengine

Na Albano Midelo WANAWAKE wajawazito katika kijiji cha Likuyuseka wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wanadai wanadhalilishwa kupata huduma ya uzazi katika zahanati ya kijiji hicho kama inavyoonekana pichani  ambayo haina chumba maalum cha kujifungulia. Kijiji cha Likuyuseka kipo mpakani na mradi wa mgodi wa uchimbaji wa madini ya urani uliopo ndani ya pori la akiba la Selous ambalo lilitangazwa na shirika la umoja wa mataifa la UNESCO mwaka 1980 kuwa eneo hilo ni urithi wa Dunia. Wakizungumza ...

KwanzaJamii

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Idadi ya wagonjwa Kenya yafikia 758, huku wagonjwa wengine 21 wakithibitishwa

Mipaka isiolindwa sasa imetajwa kuwa miongoni mwa maeneo hatari katika maambukizi ya virusi vya corona kulingana na naibu waziri wa Afya nchini Kenya Mercy Mwangangi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Chumba cha wagonjwa mahututi ni nini na ni wagonjwa gani wanastahili kukitumia?

ICU ni wodi maalum inayotoa huduma kwa wagonjwa ambao wako katika hali mbaya na watafuatiliwa kwa karibu lakini chumba hiki kikoje?

 

5 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wagonjwa wa corona nchini Kenya yafikia 1,214 baada ya kutangazwa wagonjwa wapya 22

Wagonjwa 10 wanatoka katika mji wa Nairobi, 9 wanatoka Mombasa, Kwale , Nakuru na Taita taveta kukiwa na mgonjwa mmojammoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani