Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe wahaha kuwahi kiapo Dodoma

Baadhi ya wajumbe ambao majina yao yaliitwa kwa ajili ya kuapa, wamehaha kutafuta usafiri wa ndege kurejea mjini hapa ili waweze kuwahi shughuli hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CDA YABOMOA NYUMBA ZAIDI YA 65 MLIMWA KUSINI DODOMA‏, WANANCHI WAHAHA

 Tingatinga la Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu [CDA], likibomoa moja ya nyumba zilizopo katika hifadhi ya Barabara inayotarajiwa kuanza…

 

11 years ago

Michuzi

wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mjini dodoma wahaha kusaka usafiri

 Askari polisi anayelinda usalama wa abiria na mali zao katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani akijalibu kutoa maelekezo kwa wanafunzi wa UDOM waliofika kutafuta usafiri kituoni hapo na kukuta hali ya usafiri hailidhishi kutokana na uchache wa Mabasi.
 Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakigombania kulipa nauli kwa ajenti wa Basi la Urafika linalofanya safari zake kuelekea Iringa  baada ya baadhi ya Vyuo kufungwa kwa pamoja na hivyo kufanya idadi ya abiria wa mikoani kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Chikawe, IGP, DCI wala kiapo cha kuwa wajumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Mathias Chikawe akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji wa Mahakama kuu Mhe. Njengafibili Mwaikugile jijini Dar es Salaam jana .Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari polisi na Magereza.Katikati ni Msajili wa Mahakama kuu Bw.Benedict Mwingiwa  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akila kiapo cha kuwa mjumbe wa Tume ya utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza  mbele...

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge Dk Puja na Sebba walioteuliwa na Rais Kikwete wala kiapo Bungeni Dodoma eo

Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Dkt Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015.
Picha zote na Anitha Jonas - Dodoma.

 

10 years ago

Habarileo

Wajumbe wa NEC wa CCM Dodoma waonywa

MWENYEKITI CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya mkoa huo kuacha kujitwisha misalaba ya wagombea urais huku wakiwa hawajui hatma ya maeneo yao wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wana-CCM Dodoma waonya wajumbe

Chama cha Mapinduzi, Kata ya Chang’ombe katika Manispaa ya Dodoma kimeonya kuwa Katiba mpya isipotoa matumaini ya wananchi kupimiwa ardhi, hawataitambua na hawatakuwa tayari kupiga kura ya kuchagua kiongozi yeyote katika maeneo yao.

 

10 years ago

Habarileo

Wajumbe Baraza Kuu Wazazi kukutana Dodoma

WAJUMBE 150 wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watakutana mjini Dodoma kwa ajili ya kupata mafunzo juu ya Katiba Inayopendekezwa ili wawe chachu ya kuhamasisha wanachama na wananchi kuipigia kura ya ndiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Dodoma yafurika, wajumbe wawasili vyumba vyaadimika

>Wakati Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwasili mjini Dodoma, Ofisi ya Bunge imetangaza kuandaa utaratibu wa malazi kwa wajumbe hao katika hoteli mbalimbali mjini humo.

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Mjumbe wa Bunge la Katiba na Mwenyekiti wa Timu ya Simba Ismail Aden Rage akiwaonyesha wajumbe wa Bunge hilo Kadi ya ATM kupitia Benki ya Posta inayotumiwa na wanachama wa Simba. Wengine ni Richard Ndasa(kulia), Khalifa Suleman Khalifa (wa pili kushoto) naMurtaza Mangunga(kushoto). Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashililah (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge la Katiba William Lukuvi(kulia) . Mjumbe wa Bunge la Katiba Joshua Nasari(kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani