Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wakamata’ vifaa vya kupigia kura

WAKAZI wa kata za Makuyuni na Kilema Kati wilayani Moshi Vijijini wamekamata baadhi ya masanduku na vifaa vya kupigia kura katika Jimbo la Vunjo juzi vinavyodaiwa kuwa ni kwa ajili ya kusaidia ushindi kwa baadhi ya wagombea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wachoma vifaa vya kupigia kura

WATU wapatao 200 wakiwa na silaha za jadi wameteketeza vifaa vyote vya kupigia kura kwa kuvichoma moto yakiwemo makasha 45 ya kuhifadhia kura wakidai kuwa yalikuwa na kura ambazo tayari zilikuwa zimeshapigwa.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?

Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]

The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

CloudsFM

VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA KUTOLEWA UPYA

VITAMBULISHO vya kupiga kura nchini, vitatolewa upya kwa wananchi wote, ikiwa ni sehemu ya mchakato wa kuboresha daftari la kudumu la wapigakura. Mchakato huo wa kutoa vitambulisho upya, utakaotekelezwa Septemba mwaka huu, utagharimu Sh bilioni 293 .
Tofauti na vitambulisho vya awali vya karatasi vilivyotolewa kwa mara ya kwanza mwaka 2004, vipya vitakuwa vya plastiki. Vimebadilishwa kutokana na matumizi ya teknolojia mpya katika uandikishaji.

Teknolojia itakayotumika ni ya Biometric Voter...

 

9 years ago

Vijimambo

UFAFANUZI WA IDADI YA VITUO VYA KUPIGIA KURA OKTOBA 25


Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani  amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu Mawili.
1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na
2. Namna SAHIHI  ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo.i). KUTUO...

 

11 years ago

Mwananchi

Vituo vya kupigia kura kuongezeka maradufu nchini

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva amesema vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 vitaongezeka mara mbili zaidi ya vile vilivyotumika katika uchaguzi uliopita.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vya kupigia kura

Wakati zaidi ya robo tatu ya vifaa vinavyohitajika vikiwa vimewasili nchini, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inaangalia namna ya kuwasaidia waliopoteza vitambulisho vyao kushiriki kupiga kura.

 

9 years ago

Michuzi

TUME YAWAASA WANANCHI KUTOSIMAMA KATIKA VITUO VYA KUPIGIA KURA

Na Anitha Jonas- Maelezo7/10/2015Dar es salaamTume ya Taifa ya uchaguzi nchini amewaasa wananchi kutosimama katika vituo vya kupiga kura mara baada ya kupiga kura oktoba 25 mwaka huu kwani mawakala wa vyama vya siasa wa kuwepo katika vituo vya kupigia kura ili kulinda maslahi ya chama pamoja na wagombea wao.
Wito huo umetolewa na  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva alipokuwa akifungua mkutano wa tume  na waratibu wa uchaguzi wa mikoa, wasimamizi wa uchaguzi na makamanda...

 

9 years ago

Mwananchi

Askari Handeni watishia kugoma kusimamia vituo vya kupigia kura

Askari mgambo 114 wilayani Handeni wametishia kugoma kwenda kusimamia vituo vya kupigia kura kutokana na kutolipwa fedha zao kama walivyokubaliana na mkurugenzi.

 

10 years ago

Michuzi

RAIA WAKIGENI 2040 WAKAMATWA WAKIWA NA VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA

Kaimu kamishina wa uhamiaji Abasi Irovya akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na wahamiaji haramu wanayo jiandikisha katika  Daftari la wapiga kura katika mikoa mbalimbali hapa nchini.Kutoka kushoto ni Naibu Kamishina wa uhamiaji wilaya ya Iala, Safina Muhindi,katikati ni Afisa  uhamiaji wilaya ya Temeke, Jaffari Kisesa na Afisa Mdhibiti wa Paspoti, Cripin Ngonyani wakimsikiliza Kaimu kamishina wa uhamiaji Abasi Irovya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani