Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi asimulia jinsi Ice Prince alivyompa ‘Nyota Tano’

Rapper Wakazi amedai kuwa kwenye mpango wa kumshirikisha rapper wa Nigeria, Ice Prince baada ya wawili hao kukutana kwenye show moja nchini Marekani. Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi cha EATV, Wakazi alisema kuwa haikuwa rahisi kupata heshima kutoka kwa rapper huyo. “Kulikuwa kuna show inaitwa ‘United Sound Of Africa’ ambapo alikuwa 2face, J Martins alikuwepo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Ice Prince — That Could BeUs

Ice Prince releases the video to his recently released hit single “That Could Be Us” produced by ace producer Legendary Beats, this follows up iconic videos Shots on Shots, Whiskey and N Word Remix which were all released earlier this year.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ice Prince – Feelings

iceprnce

Mwana muziki kutoka Nigeria, Ice Prince Zamani, Baada ya kuuweka wazi uhusiano wake na mrembo Maima, staa huyo ameachia video yake mpya ya wimbo “Feelings”, Katika hii video ambayo mpenzi wake amecheza kama video queen.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Ice Prince — Boss

Chocolate City Rapper, Ice Prince unveils the fresh ‘Boss’ visuals directed by ace director, Moe Musa. Boss, produced by Tekno was released a few weeks earlier and seems to be catching on fast. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube […]

 

9 years ago

Global Publishers

10 years ago

Mwananchi

Mwanamume mweye jinsi mbili asimulia maisha yake

Mwanamume mwenye jinsi mbili, amezungumza na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na kusema kama wazazi wake wangemshauri kuhusu hali hiyo, asingeogopa kujitambulisha ulimwenguni.

 

9 years ago

MillardAyo

Ice Prince kamuweka mpenzi wake kwenye hizi dakika nne za ‘Feelings’ – (Video)!

Mkali wa muziki kutoka Nigeria, Ice Prince Zamani anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani. Baada ya kuuweka wazi uhusiano wake na mrembo Maima, staa huyo amekuja na mdundo mwengine kwenye video  ambayo mpenzi wake amecheza kama video queen. Wimbo unaitwa ‘Feelings’ na kwa muonekano wa mambo ndani ya video ni wazi kabisa kuwa mtu wetu […]

The post Ice Prince kamuweka mpenzi wake kwenye hizi dakika nne za ‘Feelings’ – (Video)! appeared first on...

 

9 years ago

Africanjam.Com

COKE STUDIO MASH UP: NEYO, ALI KIBA, DAMA, ICE PRINCE, MAURICE KIRYA & WANGECHI - REASON



Published on Dec 6, 2015Coke Studio Africa welcomes R&B Superstar NE-YO who works with Wangechi (Kenya), Alikiba (Tanzania), Maurice Kirya (Uganda), Dama Do Bling (Mozambique) and Ice Prince (Nigeria) on a special Coke Studio Africa song. The five select stars have already recorded mash-ups that have rocked this season.
Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela...

 

9 years ago

Bongo5

Mrembo na mtangazaji wa Uganda Flavia Tumusiime asimulia jinsi rapper J-Cole alivyotaka ‘kumla uroda’

Mtangazaji na mrembo wa Uganda, Flavia Tumusiime amesimulia kisa cha rapper wa Marekani, J-Cole aliyetaka kumla uroda. Kupitia Facebook, hivi ndivyo alivyoandika: Umeshawahi kujiuliza iwapo wakati mwingine tabia zetu hutoa dalili tofauti? Mwaka 2012 niliposherehesha Big Brother Africa, niliweza pia kumhoji rapper wa Marekani, J-Cole. Nilikuwa nina hamu sana na mahojiano hayo kwasababu nilikuwa shabiki […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani