Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamume mweye jinsi mbili asimulia maisha yake

Mwanamume mwenye jinsi mbili, amezungumza na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na kusema kama wazazi wake wangemshauri kuhusu hali hiyo, asingeogopa kujitambulisha ulimwenguni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Ali Kiba asimulia maisha yake ya usanii

Ali Kiba ni miongoni mwa wasanii maarufu sana kutoka Tanzania ambaye amewika si nchini humo tu bali Afrika Mashariki na nje ya mipaka ya Afrika.

 

9 years ago

GPL

PAM D AELEZA NYIMBO ZAKE MBILI ZILIVYOBADILISHA MAISHA YAKE

Mtangazaji wa Global TV Online na muimbaji Pamela Daffa 'Pam D'. Pamela Daffa 'Pam D' akiwa katika mapozi tofauti. MTANGAZAJI na muimbaji Pamela Daffa aka Pam D amesema nyimbo zake mbili zimempa…

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio single mbili za Matonya zilizompa mkwanja mrefu katika maisha yake ya muziki…..

Ninajua nina watu wangu ambao mtakuwa na hamu ya kufahamu stori za wasanii waliokuwa wakitamba enzi zile, sasa hapa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Seif Shaban aka Matonya ambaye amefunguka kuhusiana na single mbili zilizompa mkwanja mrefu katika historia yake ya muziki. Akiongea exclusive interview na ripota wa […]

The post Hizi ndio single mbili za Matonya zilizompa mkwanja mrefu katika maisha yake ya muziki….. appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Wakazi asimulia jinsi Ice Prince alivyompa ‘Nyota Tano’

Rapper Wakazi amedai kuwa kwenye mpango wa kumshirikisha rapper wa Nigeria, Ice Prince baada ya wawili hao kukutana kwenye show moja nchini Marekani. Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi cha EATV, Wakazi alisema kuwa haikuwa rahisi kupata heshima kutoka kwa rapper huyo. “Kulikuwa kuna show inaitwa ‘United Sound Of Africa’ ambapo alikuwa 2face, J Martins alikuwepo […]

 

9 years ago

Bongo5

Mrembo na mtangazaji wa Uganda Flavia Tumusiime asimulia jinsi rapper J-Cole alivyotaka ‘kumla uroda’

Mtangazaji na mrembo wa Uganda, Flavia Tumusiime amesimulia kisa cha rapper wa Marekani, J-Cole aliyetaka kumla uroda. Kupitia Facebook, hivi ndivyo alivyoandika: Umeshawahi kujiuliza iwapo wakati mwingine tabia zetu hutoa dalili tofauti? Mwaka 2012 niliposherehesha Big Brother Africa, niliweza pia kumhoji rapper wa Marekani, J-Cole. Nilikuwa nina hamu sana na mahojiano hayo kwasababu nilikuwa shabiki […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Avril asimulia kwa mara ya kwanza jinsi alivyoanguka kwenye swimming pool wakati akitumbuiza Dar

Kwa mara ya kwanza muimbaji wa Kenya, Avril amelizungumzia tukio lililotokea miaka miwili iliyopita jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akitumbuiza kwenye Pool Party iliyofanyika kwenye hoteli ya Regency Park, Mikocheni. Kwenye show hiyo ambayo rapper Prezzo pia alitumbuiza, Avril alijikuta akitumbukia kwenye bwawa la kuogelea lililokuwa mbele ya jukwaa. Bahati nzuri mrembo huyo anajua […]

 

9 years ago

Bongo5

Black Rhino asimulia jinsi collabo ya Chagua Moja ya Fid Q, Langa na Adili ilivyowaweka kwenye ushindani wa kutaka kufunikana

Chagua Moja, ya Fid Q aliyowashirikisha Black Rhino, marehemu Langa na Adili ni moja kati ya collabo bora zilizowahi kufanyika kwenye muziki wa Bongo Flava. Black Rhino amekiambia kipindi cha Chill na Sky kuwa wimbo huo ulifanyika katika mazingira yenye ushindani mkubwa. “Kila mtu alikuwa anataka amuonesha mwenzake kwamba, me I am the best, kwahiyo […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Nandi Mandela asimulia babu yake

Anasema babu yake aliwashirikisha kwa kila kitu alichokuwa nacho na alihudumia familia yake, ambayo ilikuwa na ndugu wa mbali.

 

10 years ago

Bongo5

Ben Pol asimulia ‘aibu’ aliyoipata kwenye show yake ya kwanza kutumbuiza!

Kila msanii unayemfahamu ana show moja ama mbili alizowahi kuzifanya lakini zikawa mbaya kiasi ambacho hawezi kuisahau. Akiongea kwenye kipindi cha Kili Chat kinachorushwa kila Alhamis kupitia EATV, Ben Pol alisema show yake mbaya zaidi kuifanya ni ile ya kwanza kabisa kuwahi kufanya wakati huo akiwa na wimbo uliomtambulisha, ‘Nikikupata’. “Nafikiri pia sababu ya ugeni […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani