Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKENYA WANAVYOMZUNGUMZIA RAIS MAGUFULI

Na Francis GodwinUnajua nini mtu wangu una kila sababu ya kujivunia kuwa Tanzania wakati na muda kama huu kwani kasi ya Rais wetu Dk. John Pombe Joseph Magufuli inaweka headlines kubwa sana kwa nchi za jirani na si kwa Watanzania pekee!Nimetembelea mtandao wa kijamii wa Twitter na nimekutana na tweets za Wakenya juu ya Rais Dk. John Pombe Magufuli na kwenye kuzisoma tweets zao nimegundua sifa za Rais Magufuli na maamuzi yake ya kazi tu toka ameshika rungu la Tanzania zimewafikia.Wengi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Utendaji Wa Rais Magufuli wawafanya Wakenya kutamani awe Rais wao

Raia wa Kenya wamewataka Watanzania kutoa ushirikiano kwa Rais Dokta John Magufuli katika juhudi zake ya kupambana na Ufisadi na Ubadhilifu wa mali za umma anazoendelea kuzichukua tangu aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba tano mwaka huu.

Wakenya hao wamesema kimsingi hata wao wanatamani kuwa na Rais  kama Dokta Magufuli kwa sababu ameonesha kuwa ni Mzalendo anayeipenda nchi yake na anayepigania maslahi ya wananchi masikini ambao kwa miaka kadhaa wamekosa fursa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA KENYA ALIVYOKUTANA NA WAKENYA HYATT HOTEL NEW YORK CITY

MH. Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta akiwa amesimama kwenye meza kuu baada ya kuingia kwenye ukumbi wa Hyatt hotel tayari kwa kuongea na wananchi wake wa Kenya washio New York na miji ya jilani, kushoto kwa Mh. Rais ni first Lady Margaret Gakuo Kenyatta.Mh. Rais Kenyatta akiongea mbele ya wananchi wa Kenya kwenye mkutano uliofanyika  Hyatt hotel New York City. Mh. Kenyatta aliongea mambo mengi na kati ya mambo hayo ni jinsi gani angependa wananchi wake warudi nyumbani na kutoa changamoto za...

 

11 years ago

Michuzi

Hotuba ya Mhe Rais Uhuru Kenyatta kwa waKenya Washington DC. Aug 6, 2014

Mhe. Rais Uhuru Kenyatta akihutubia waKenya jijini Washington Aug 6, 2014Karibu kusikiliza hotuba ya Mhe. Uhuru Kenyatta alipozungumza na waKenya usiku wa Agosti 6, 2014 kwenye hotel ya Marriott Wardman Park Hotel, jijini Washington DC nchini Marekani.

 

10 years ago

Vijimambo

VIJIMAMBO KURUSHA LIVE RAIS UHURU KENYATTA ATAKAPOONGEA NA WAKENYA NEW YORK ALHAMISI

Siku ya Alhamisi Sept 25, 2014 Rais Uhuru Kenyatta ataongea na Wakenya waishio New York na vitongoji vyake na Vijimambo Blog itarusha LIVE tukio hilo kuanzia saa 11:30 jioni ET.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kwanini Wakenya wanamuomba Rais Kenyatta kuwapatia 'uhuru' ?

Karibu watu milioni1.2 wamepoteza ajira tangu janga la corona lilipokumba Kenya mwezi Machi.

 

9 years ago

MillardAyo

Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda.. (+Video)

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii itakuwa ni mara ya pili kumuona Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anakaa kwenye kiti cha dereva na kujiendesha mwenyewe kwenye gari !! Hii mpya ni kipande cha interview aliyofanyiwa Rais Kenyatta na mtangazaji wa Citizen TV, Jacque Maribe… ni kipande cha sekunde 15 za promo ya interview hiyo lakini inaonekana Wakenya wengi […]

The post Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda.. (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

BBCSwahili

Daniel Toroitich Arap Moi: Wakenya watoa heshima za mwisho kwa rais mstaafu

Mwili wa rais mstaafu wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi upo katika bunge ambapo Wakenya watatoa heshima zao za mwisho

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani