Wakili wa Pistiorius asema kesi imevurugwa
Mawakili wanaomtetea Oscar Pistorius wanasema kuwa viongozi wa mashitaka wamevuruga kesi kwa minajili ya kumfanya kuwa na makosa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Wakili asema Pistorius 'amefilisika'
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Kesi ya wakili Yasinta yapigwa kalenda
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeiahirisha kesi inayomkabili Wakili wa Serikali,Yasinta Rwechungura (44), Mkazi wa Boko Njiapanda, jijini Dar es Salaam hadi Agosti 29, mwaka huu kutokana na upelelezi kutokamilika....
10 years ago
Mtanzania13 Sep
Wakili wa Mbasha augua, kesi yaahirishwa
![Emmanuel Mbasha](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Emmanuel-Mbasha.jpg)
Emmanuel Mbasha
Veronica Romwald na Zainabu Abdillah (MUM), Dar es Salaam
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jana imeahirisha kesi ya ubakaji inayomkabili mfanyabiashara na muimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha hadi Septemba 19, mwaka huu kutokana na wakili anayemtetea, Mathew Kakamba, kuugua shinikizo la damu.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwendesha Mashitaka wa Polisi na Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga, alidai Mahakama ilifikia uamuzi huo baada ya Kakamba kuieleza Mahakama kuwa...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Jaji amwonya wakili kesi ya Mwalle
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Gadi Mjemas anayesikiliza kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Wakili Median Mwalle na wenzake watatu, amemwonya na kumtaka Wakili wa Jamhuri, Pius Hilla, amuulize shahidi wake kuhusu kesi iliyopo mahakamani na si kuuliza juu ya mafunzo.
Jaji Mjemas alitoa kauli hiyo jana mjini hapa wakati akisikiliza ushahidi wa shahidi wa pili wa Jamhuri, Suleiman Nyakulinga, katika kesi inayoendelea kusikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania,...
11 years ago
Habarileo30 Apr
Wakili: Kesi ya Mwale ilifunguliwa kimakosa
UPANDE wa utetezi kwenye kesi ya wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu ya kutakatisha fedha haramu, umedai mashitaka hayo dhidi ya washitakiwa, yalifunguliwa kimakosa kabla ya sheria iliyowashitaki kutungwa.
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Wakili kesi ya Mbasha augua, yapigwa tarehe
11 years ago
Habarileo01 Aug
Kesi ya wakili anayedaiwa kumpiga 'hausigeli' yaahirishwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeahirisha tena kesi inayomkabili Wakili wa Serikali, Yasinta Rwechungura (44), hadi Agosti 29, mwaka huu kutokana na upelelezi wa shauri hilo kutokamilika.
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Kesi ya Wakili Mwale yahamia Mahakama Kuu
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, inatarajia kuanza kusikiliza kesi ya utakatishaji fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu.
Hatua hiyo ilikuja jana baada ya upande wa Jamhuri unaowakilishwa na Wakili Oswald Tibabyakomya, kudai kuwa umekamilisha upelelezi wa kesi hiyo.
Watuhumiwa wengine katika shauri hilo ni Don Bosco Gichana, Boniface Mwimbwa na Elias Ndejembi.
Mbele ya Hakimu Mfawidhi Mkazi wa Mahakama ya Hakimu...
9 years ago
Mtanzania22 Dec
Jamhuri yakata rufaa kesi ya Wakili Mwalle
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
MAWAKILI wa Jamhuri katika kesi ya utakatishaji fedha haramu inayomkabili Wakili Median Mwalle na wenzake watatu, wamewasilisha kusudio la kukata rufaa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania dhidi ya uamuzi wa Jaji Gadi Mjemas wa kukataa kuvipokea baadhi ya vielelezo vya ushahidi kutoka nchini Marekani.
Vielelezo hivyo viliwasilishwa mahakamni hapo na shahidi wa pili wa upande wa Jamhuri, Suleiman Nyakulinga wiki iliyopita.
Uamuzi huo ulitolewa mwishoni mwa wiki na Jaji Mjemas...