Wakilisha - Hoi unaikumbuka hii ?
![](http://img.youtube.com/vi/7nyCLorUNnM/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/gkLrWyFODcQ/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies12 Apr
Wema Unaikumbuka Hii...Je Amtake Radhi Zari?
Baada ya Andiko lake la hapo jana akielezea machungu anayoyapata kwa kutokuweza kupata mtoto japokuwa anatamani huku akiwataka watu waache kumsema vibaya kwani yote hayo ni mipango ya Mugu, Mwanadada Wema amekumbushwa kule alichomfanyia mwanadada Zarinah Hassani kwa kitendo chake cha kushiriki kukejeli ujauzito wa mwanadada huyo.
“Girl so you know that it hurts to say hash words towards another human being I thought you never knew DO YOU REMEMBER THIS WORDS ---PREGNANT MY FOOT that was a...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/uKpZh_W6jb8/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/yOlYOGFoMz0/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/TxwT6t1QJRk/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Unaikumbuka hii ya mshika kibendera kushangilia goli na mchezaji kwa kucheza Gangnam Style? (+Video)
Achana na mzuka wa goli wakati mwingine unaweza jikuta unashangilia pasipo kupenda, unakumbuka headlines za marefa kushangilia magoli, unakumbuka ile hit single ya Gangnam Style ya msanii wa Korea PSY ambayo ilikuwa katika headlines za Dunia kwa kila mtu kuipenda. Licha ya kuwa wengi walikuwa wanaichukulia kama ya comedy. Naomba nikusogezee video ya muda kidogo ambayo […]
The post Unaikumbuka hii ya mshika kibendera kushangilia goli na mchezaji kwa kucheza Gangnam Style? (+Video) appeared...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/t11tT-c5IVs/default.jpg)
9 years ago
Bongo Movies21 Dec
Maneno Haya ya Lulu Kwenye Picha Hii ya Waacha Hoi Mashabiki Wake
Hapa na Pale: Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewacha watu hoi baada ya kubandika picha hiyo hapo chini ikimuonyesha yeye na baba yake mzazi ‘Mzee Michael’ na kumwagia sifa baba yake huku akiomba dua aje kuzaa mtoto atakaye fanana na baba yake (Mzee Michael) kitendo ambacho kila shabiki yake mtandaoni alikuwa na yake ya kusema.
“Le Mbebe…! Le Super HandsomeLe Twinnie
Mzaa Chema…Mzee Michael..!!!
Ewe Mtoto Wangu WA...
9 years ago
Bongo514 Nov
New Music: Layla (The Voice Fairy) — Hoi Hoi
![12237221_1669908713222926_427056748_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12237221_1669908713222926_427056748_n-300x194.jpg)
Wimbo wa msanii anayechipukia, Layla A. Walden aka The Voice Fairy uitwao ‘Hoi Hoi.’ Umetayarishwa kwenye studio za AM Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!