Wakimbizi wa Somalia:UN yaijibu Kenya
UN inasema haijapokea amri rasmi kutoka kwa serikali ya Kenya ya kuitaka ifunge kambi ya wakimbizi wa Somalia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Apr
Wakimbizi wa Somalia:Kenya yaonya UN
Serikali ya Kenya imeupatia Umoja wa Mataifa makataa ya miezi mitatu kuwahamisha wakimbizi wa Somalia wapatao nusu milioni
11 years ago
Michuzi24 Feb
Hatimaye wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kuanza kurudishwa makwao kwa hiari
![Kambi ya wakimbizi Kenya](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/vOXYUs9inf32tetcQTwgPiBR4GbggBz4-IjRSMkFAqJwIBpVi9jutYdt__AR6oyM6LhYz6TyZ-BYL7rOAXoICPP3BbaxWokerwUd6gCGYJTCAUCJRGr3JBu-RX9EsTJGWxP00xbNNxzfqU0PzE-bt7YbdoO06OKZDA=s0-d-e1-ft#http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/wp-content/uploads/2014/02/Kambi-ya-wakimbizi-Kenya.jpg)
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
11 wauawa kambi ya Wakimbizi,Somalia
Idara za Usalama mjini Mogadishu,Somalia zimeeleza watu 11 wameuawa kutokana na mapigano yaliyozuka katika kambi ya wakimbizi.
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
Wakimbizi wa Somalia warejesha kwao
Shirika la UNHCR na serikali ya Kenya zimeanza kuwarejesha wakimbizi wa Somalia kwa ndege kufuatia makubaliano kati yao
10 years ago
BBCSwahili23 Oct
Wakimbizi Somalia wasirejeshwe:Amnesty
Amnesty International imeilaumu Ujerumani kwa kukiuka haki za binadamu dhidi ya wakimbizi wa Somalia.
10 years ago
BBCSwahili12 Apr
Somalia yapinga kuhamishwa kwa wakimbizi
Somalia imesema kuwa kutakuwa na madhara makubwa iwapo Kenya itatekeleza uamuzi wake wa kuwahamisha mamia ya wakimbizi
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Wakimbizi wa Sudan.K wamiminika Kenya
Huku mapigano yakiendelea Sudan Kusini, mamia ya wakimbizi wanaendelea kuingia nchi jirani ya Kenya.
11 years ago
BBCSwahili10 Apr
Kenya yawarejesha nyumbani wakimbizi
Kenya, imeruhusu waandishi wa habari kuzuru uwanja unaoshikilia watu zaidi ya 100 katika 450 walionaswa katika msako.
11 years ago
BBCSwahili18 Jun
Hatma ya wakimbizi Kenya kujadiliwa
Kenya na Somalia zinatarajiwa kurejelea mazungumzo kuhusu wakimbizi wa Somalia katika muda wa wiki mbili zijazo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania