Wakinamama wa Kata ya Kigamboni wapewa somo juu ya umuhimu wa kujiunga na Vicoba

Diwani wa Kata ya Kigamboni,Dotto Msawa akizungumza na wananchi wa Kata yake, wakati akifunga warsha ya siku moja iliyokuwa ikitoa mafunzo kwa kina Mama wa Kata hiyo,juu ya uhuhimu wa kujiunga na vyama vya VICOBA,iliyokuwa ikitolewa na Walimu kutoka Kituo cha Poverty Fighting Tanzania (PFT) cha Temeke jijini Dar es Salaam.
Wakinamama ambao ni wakazi wa Kata ya Kigamboni,wakimsikiliza kwa Makini Diwani wa Kata hiyo,Dotto Msawa (aliesimama) wakati alipokuwa akifunga warsha yao hiyo,ambapo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Liwale washauriwa kujiunga na Vicoba
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Vicoba washauriwa kujiunga na Saccos
10 years ago
Michuzi
Baraza la Uwezeshaji lawashawishi wananchi kujiunga na VICOBA
10 years ago
Mwananchi07 Apr
OUT wapewa somo la mapato
10 years ago
Habarileo02 Nov
Wanasiasa walioshindwa wapewa somo
VIONGOZI wa vyama vya siasa ambao wanadhani hawakutendewa haki katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi karibuni, wametakiwa kutumia njia za busara, hekima na taratibu za kisheria za kidiplomasia katika kudai haki yao na sio kutaka kuvuruga amani na kusababisha damu kumwagika.
10 years ago
Habarileo19 Dec
Viongozi wa siasa wapewa somo
ASKOFU Julius Bundala wa Kanisa la PHAM katika Kanda ya Kati ameshauri viongozi wa vyama vya siasa kuacha kuwashinikiza wananchi kiitikadi wakati wanapofikia muda wa kufanya uchaguzi wa viongozi wao.
9 years ago
Habarileo30 Dec
Wahitimu ukocha wapewa somo
WAHITIMU wa mafunzo ya ualimu wa mpira wa miguu wametakiwa kutenga muda wa kufundisha vijana pasipo na kutegemea kupatiwa malipo.
10 years ago
Habarileo05 Apr
Mitandao ya kijamii wapewa somo
WATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini wametakiwa kujiandaa kutumia sheria mpya ya mawasiliano iliyopitishwa bungeni hivi karibuni.