Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Uwezeshaji lawashawishi wananchi kujiunga na VICOBA

Wajasiriamali nchini wamehamasishwa kujiunga na vikundi vya VICOBA nchini ili waweze kujipatia maendeleo kwa haraka. Inasemekana kwamba kujiunga na vikundi hivyo, kutasaidia wananchi kujipatia faida mbalimbali kama kujifunza utamaduni wa kuweka akiba kwa maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa wakati wa uzinduzi wa kadi maalum ya Benki ya Posta (ATM card) kwa ajili ya vikundi vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LACHOCHEA UBORA WA UTENGENEZAJI SAMANI NCHINI


KAMPUNI ya Furniture Centre (FCDL), na Shirikisho la Watengenezaji Samani Nchini (TAWOFE), wamesaini makubaliano (MoU) kuongeza ubora wa bidhaa za samani zinazotengenezwa nchini na kuzifanya zipate soko ndani na nje ya nchi.Makubaliano haya yamekamilika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ikiwa ni mwendelezo wa Tathimini iliyofanywa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwa mkoa wa Dar es Salaam na mikoa ya jirani, katika kuiwezesha...

 

11 years ago

Mwananchi

Liwale washauriwa kujiunga na Vicoba

Wajasiriamali Wilaya ya Liwale, mkoani Lindi wameaswa kujiunga na Vicoba na kujenga tabia ya kutunza akiba ili kufikia malengo waliojiwekea.

 

11 years ago

Mwananchi

Vicoba washauriwa kujiunga na Saccos

Wanachama wa Vicoba wameshauriwa kujiunga na Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos) ili kuwawezesha kunufaika na fursa katika mifuko ya hifadhi ya jamii na hatimaye kupata mikopo kwa ajili ya kuendeleza vikundi vyao.

 

11 years ago

Michuzi

Wakinamama wa Kata ya Kigamboni wapewa somo juu ya umuhimu wa kujiunga na Vicoba

Diwani wa Kata ya Kigamboni,Dotto Msawa akizungumza na wananchi wa Kata yake, wakati akifunga warsha ya siku moja iliyokuwa ikitoa mafunzo kwa kina Mama wa Kata hiyo,juu ya uhuhimu wa kujiunga na vyama vya VICOBA,iliyokuwa ikitolewa na Walimu kutoka Kituo cha Poverty Fighting Tanzania (PFT) cha Temeke jijini Dar es Salaam. Wakinamama ambao ni wakazi wa Kata ya Kigamboni,wakimsikiliza kwa Makini Diwani wa Kata hiyo,Dotto Msawa (aliesimama) wakati alipokuwa akifunga warsha yao hiyo,ambapo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baraza la Uwezeshaji lanufaisha wakulima mpunga

BARAZA la Uwezeshaji Taifa limewanufaisha wakulima wa Mpunga 400 wa Bonde la Madibira wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa kuwadhamini kupitia benki ya CRDB tawi la Iringa na Madibira Saccos kupata...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA UWEZESHAJI LAWANUFAISHA WAKULIMA WA MPUNGA

 Anchali Seleman Mmoja wa wakulima wa mpunga katika bonde la Madibira akiandaa mbegu ya mpunga katika kitalu chake baada ya kuwezeshwa na udhamini wa Baraza la Uwezeshaji Taifa kupitia bank ya CRDB pamoja na Madibira Saccos.  Baadhi ya wakulima waliodhaminiwa na serikali kupitia baraza la uwezeshaji la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka baraza hilo.Mmoja ya Mkulima aliyefanikiwa kupata udhamini wa baraza la uwezeshaji akielezea mafanikio yake baada ya udhamini...

 

10 years ago

Michuzi

Baraza la Uwezeshaji lahimiza bidii, maarifa katika kazi

Watanzania wameshauriwa kuzidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili nchi iweze kufikia uchumi wa kati na kuondokana na umasikini. Katibu Mtendaji wa Bazara la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Bi. Beng’i Issa amewaambia waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuwa wakati serikali inafanya juhudi kuwawezesha wananchi, ni muhimu wananchi pia wakaongeza juhudi katika shughuli zao za kiuchumi. “Tuko katika njia nzuri kufikia uchumi wa kati, lakini inabidi kuongeza kasi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Baraza la Uwezeshaji lakubaliana na mpango wa ujasiriamali wa chuo cha Cambridge

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa (kulia) pamoja na Rais wa Cambridge Development Initiative (CDI), Bw. Ravi Solanki wakitia saini makubaliano ya kuimarisha elimu ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini jana jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Afisa Mwandamizi wa uwekezaji, NEEC, Bw. Oswald Karadisi (kulia) na Mkurugenzi Ujasiriamali wa CDI, Bi. Georgia Ware.Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi...

 

10 years ago

Vijimambo

TIB KUTOA MIKOPO KWA VIJANA; ZOEZI KURATIBIWA NA BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI (NEEC)

Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi, (NEEC), na TIB Development bank, wametialiana saini makubaliano ambayo yatatoa fursa kwa vijana wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kupata fursa ya mikopo kwa nia ya kujiajiri wenyewe.
Katika makubaliano hayo TIB itatoa mikopo hiyo ambapo kwa kuanzia kiasi cha shilingi bilioni 1 kimetengwa kwa ajili ya mpango huo utakaoratibiwa na NEEC ambayo itakuwa na jukumu la kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana hao ikiwa ni pamoja na kusaidia namna ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani