Vicoba washauriwa kujiunga na Saccos
Wanachama wa Vicoba wameshauriwa kujiunga na Vyama vya Kuweka na Kukopa (Saccos) ili kuwawezesha kunufaika na fursa katika mifuko ya hifadhi ya jamii na hatimaye kupata mikopo kwa ajili ya kuendeleza vikundi vyao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Liwale washauriwa kujiunga na Vicoba
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Wananchi washauriwa kujiunga Saccos
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Wanachama vicoba washauriwa
WANACHAMA wa vikundi vya kuweka na kukopa (VIKOBA) mkoani Arusha wametakiwa kupanga na kutumia vizuri fedha wanazokusanya ili ziwasaidie kutoka daraja moja hadi jingine katika maisha yao. Kauli hiyo ilitolewa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ovaHTG9f8As/VdDyKE27OYI/AAAAAAAHxo8/21ENtmZ50BU/s72-c/unnamed%2B%252815%2529.jpg)
Baraza la Uwezeshaji lawashawishi wananchi kujiunga na VICOBA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qC9BCA-r3hY/UwZ3IxekINI/AAAAAAAFOe4/RnbTgjoOHxo/s72-c/IMG_3458.jpg)
Wakinamama wa Kata ya Kigamboni wapewa somo juu ya umuhimu wa kujiunga na Vicoba
![](http://1.bp.blogspot.com/-qC9BCA-r3hY/UwZ3IxekINI/AAAAAAAFOe4/RnbTgjoOHxo/s1600/IMG_3458.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-9JeGVL5TIFA/UwZ3X_yIrOI/AAAAAAAFOfI/NcbACIEMAQQ/s1600/IMG_3464.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Free Media Saccos yaombwa kujiunga SCULT
MUUNGANO wa Vyama vya Ushirika wa Akiba na Mikopo Tanzania (SCULT) umekiomba Chama cha Akiba na Mikopo cha Free Media Saccos kujiunga nao. Akizungumza na baadhi ya viongozi wa Bodi...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Washauriwa kujiunga na mifuko ya jamii
WATANZANIA wenye uwezo wa kufanya kazi, walioajiriwa kwenye sekta mbalimbali na waliojiajiri, wameshauriwa kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii ili kupata mafao bora uzeeni. Kauli hiyo ilitolewa mkoani Kagera...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jan
Wazanzibari washauriwa kujiunga NHIF
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Hamis Mdee, amewashauri wakazi wa Zanzibar kujiunga na mfuko huo ili kuwa na uhakika wa matibabu. Mdee alisema...
11 years ago
Habarileo06 Jan
Wakazi wa Zanzibar washauriwa kujiunga na NHIF
WAKAZI wa Zanzibar wameshauriwa kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wawe na uhakika wa kupata matibabu wakati wote.