Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Uwezeshaji lahimiza bidii, maarifa katika kazi

Watanzania wameshauriwa kuzidi kuendelea kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili nchi iweze kufikia uchumi wa kati na kuondokana na umasikini. Katibu Mtendaji wa Bazara la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Bi. Beng’i Issa amewaambia waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam kuwa wakati serikali inafanya juhudi kuwawezesha wananchi, ni muhimu wananchi pia wakaongeza juhudi katika shughuli zao za kiuchumi. “Tuko katika njia nzuri kufikia uchumi wa kati, lakini inabidi kuongeza kasi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

DC ahimiza bidii katika kazi

MKUU wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe, Daud Yassin amewataka wananchi wa wilaya hiyo kufanya kazi kwa bidii ili kumuunga mkono Rais John Magufuli katika jitihada za kuhakikisha kila Mtanzania anawajibika ipasavyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi ahamasisha Baraza la Wafanyakazi wa Idara ya jeshi la Polisi kufanya kazi kwa bidii!

pix 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,John Mngodo,akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Idara ya Jeshi la Polisi(hawapo pichani),wakati alipoalikwa kufunga mkutano huo uliofanyika Chuo cha Taaluma ya Polisi,Kilwa Road,jijini Dar es Salaam.

pix 2

Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi,Stanford Busumbiro(kulia) akimpongeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani  ya Nchi,John Mngodo, muda mfupi baada ya kumaliza kufunga mkutano wa Baraza la Wafanyakazi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza Ewura lahimiza utumiaji kamati za mikoa

BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (EWURA CCC), limewataka watumiaji wa huduma hizo kutumia kikamilifu kamati za watumiaji za mikoa na ofisi zilizofunguliwa, ili kuleta...

 

9 years ago

Michuzi

FANYENI KAZI KWA BIDII ILI MUWEZE KUJILETEA MABADILIKO YA KWELI KATIKA MAISHA YENU - MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, Liwale14/10/2015 Wananchi wa mkoa wa Lindi wameaswa kufanya kazi kwa bidii ili waweze kujiletea mabadiliko ya kweli katika maisha yao kwani kuna baadhi ya watu hawapendi kufanya kazi huku wakisubiri mabadiliko.
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa  vijiji vya Ngunichile na Mbaya vilivyopo katika majimbo ya Nachingwea na Liwale (Pichni)waliohudhuria mkutano wa kampeni ya kuwanadi wagombea wa...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA UWEZESHAJI LAWANUFAISHA WAKULIMA WA MPUNGA

 Anchali Seleman Mmoja wa wakulima wa mpunga katika bonde la Madibira akiandaa mbegu ya mpunga katika kitalu chake baada ya kuwezeshwa na udhamini wa Baraza la Uwezeshaji Taifa kupitia bank ya CRDB pamoja na Madibira Saccos.  Baadhi ya wakulima waliodhaminiwa na serikali kupitia baraza la uwezeshaji la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi kutoka baraza hilo.Mmoja ya Mkulima aliyefanikiwa kupata udhamini wa baraza la uwezeshaji akielezea mafanikio yake baada ya udhamini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baraza la Uwezeshaji lanufaisha wakulima mpunga

BARAZA la Uwezeshaji Taifa limewanufaisha wakulima wa Mpunga 400 wa Bonde la Madibira wilayani Mbarali mkoani Mbeya kwa kuwadhamini kupitia benki ya CRDB tawi la Iringa na Madibira Saccos kupata...

 

9 years ago

Michuzi

Baraza la Uwezeshaji lawashawishi wananchi kujiunga na VICOBA

Wajasiriamali nchini wamehamasishwa kujiunga na vikundi vya VICOBA nchini ili waweze kujipatia maendeleo kwa haraka. Inasemekana kwamba kujiunga na vikundi hivyo, kutasaidia wananchi kujipatia faida mbalimbali kama kujifunza utamaduni wa kuweka akiba kwa maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa wakati wa uzinduzi wa kadi maalum ya Benki ya Posta (ATM card) kwa ajili ya vikundi vya...

 

10 years ago

Michuzi

Baraza la Uwezeshaji lakubaliana na mpango wa ujasiriamali wa chuo cha Cambridge

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa (kulia) pamoja na Rais wa Cambridge Development Initiative (CDI), Bw. Ravi Solanki wakitia saini makubaliano ya kuimarisha elimu ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini jana jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Afisa Mwandamizi wa uwekezaji, NEEC, Bw. Oswald Karadisi (kulia) na Mkurugenzi Ujasiriamali wa CDI, Bi. Georgia Ware.Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani