Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakongwe 10 wakomaa kiubishi Ligi Kuu

Waswahili husema ukubwa dawa. Hilo ndilo linaloweza kutumika kueleza mchango wa baadhi ya wachezaji nyota wa klabu za Ligi Kuu ambao licha ya umri kusonga mbele, wamekuwa wenye mchango mkubwa kwa klabu hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

9 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

10 years ago

KwanzaJamii

Chadema wakomaa na maandamano

Wakati wafuasi 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika wilaya za Bunda na Dodoma wakifikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukusanyika kwa lengo la kutaka kufanya maandamano yasiyokuwa halali, chama hicho kimeendelea kupinga amri ya Jeshi la Polisi baada ya vijana wake kutangaza kufanya maandamano makubwa jijini Dar es Salaam leo. Wakati wafuasi 15 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika wilaya za Bunda na Dodoma wakifikishwa mahakamani kwa tuhuma za...

 

10 years ago

Mwananchi

Madega, Hans Pope wakomaa

U.ongozi wa Yanga umetakiwa kuacha kuweweseka kuhusiana na uamuzi utakaotolewa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF dhidi ya mshambuliaji Emmanuel Okwi kwani kitakachoangaliwa ni kanuni na siyo ushabiki

 

11 years ago

Tanzania Daima

Karibuni Ligi Kuu

WAKATI Ligi Kuu ya Tanzania Bara ikielekea ukingoni, timu tatu za kuchukua nafasi ya timu zilizoshindwa kuhimili kishindo, zimeshajulikana kutoka Ligi Daraja la Kwanza. Hiyo ni kwa mujibu wa kanuni...

 

10 years ago

Habarileo

Ligi Kuu Bara bil 6.6/-

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), jana lilisaini mkataba mpya na Kampuni ya simu ya Vodacom wa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara wenye thamani ya Sh bilioni 6.6 kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania kuendelea

Azam FC itapepetana na Mabingwa wapya wa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu huu, timu ya Young Africans.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani