Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima mananasi Geita walia na soko

Wakulima wa mananasi katika Kijiji cha Igate, mkoani Geita wamesema kukosekana kwa soko la uhakika wa zao hilo, kunasababisha hasara na kuwavunja nguvu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli aahidi kujenga viwanda vya Mananasi, Pamba na minofu ya Samaki Geita

 Mkazi wa Kijiji cha Nyamatongo, wilayani Sengerema, Mwanza, akiwa amevaa kichwani  mfano wa karatasi la kupigiwa kura lenye picha ya Mgombea urais wa Tganzania kupitia CCM, Dk John Magufuli na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan. Dk Magufuli alihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji hicho.

Dk Magufuli ameahidi kujenga viwanda vya kukamua juisi za mananasi yanayolimwa kwa wingi mkoani Geita ili kuongeza thamani ya zao hilo pamoja na kufufua viwanda vya pamba.PICHA NA RICHARD...

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara walia na soko

Wafanyabiashara wanaotumia Soko la Chogo wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga wamelalamikia uongozi wa eneo hilo kuacha kuboresha vyoo na miundombinu mingine muhimu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazee Geita walia na wajumbe bunge maalum

BAADHI ya wazee Wilaya ya Geita mkoani hapa wamewalalamikia wajumbe waliopitisha rasimu ya Katiba iliyopitishwa hivi karibuni kwa kutoa mambo muhimu ya wananchi na kuweka yao wenyewe na kwa maslahi...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima ‘walia’ na viongozi

Wakulima na wafugaji wa Kijiji cha Kidunda Kata ya Mkulazi Mkoa wa Morogoro Vijijini, wameiomba Serikali kuwawajibisha baadhi ya viongozi, ambao wamekuwa chanzo cha migogoro inayokwamisha shughuli zao za uchumi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima walia na kodi

Wakulima wa mkonge nchini wameiomba Serikali kuondoa kodi sumbufu ikiwamo ya ardhi,OSHA, kodi ya mafuta , VAT kwenye nyuzi na ushuru wa mazao ili kupunguza mzigo wa uendeshaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima walia na DC Mvomero

MKUU wa Wilaya (DC) ya Mvomero, Anthony Mtaka, mmiliki wa Kiwanda cha Sukari Mtibwa na Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD), wanadaiwa kuukacha mkutano wa wakulima wa miwa wa nje...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima walia na uendeshaji wa kesi za mifugo

KUNDI la wakulima katika Kijiji cha Pongwe Kiona wamelalamikia uendeshwaji wa kesi za migogoro baina yao na wafugaji hatua inayochangia kuendelea kujitokeza kwa manyanyaso kwa kundi hilo. Wakizungumza katika mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA KAROTI WALIA NA BEI YA ZAO HILO

Kiroba cha karoti ambacho kwa huko shambani kinauzwa kwa shilingi elfu tano tu fedha ambazo inasemekana ni kidogo ikilingamishwa na uzalishaji wa zao hilo Wakulima mashuhuri wa mbogamboga ikiwemo karoti katika kijiji Ndabwa wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, Rehema Shegulio  (kushoto) na Hadija Shabani wakiwa wameshikilia karoti zao ambazo ni kubwa mithili ya mihogo. Picha na Vedasto Msungu 

 

11 years ago

Mwananchi

Ugawaji pembejeo Mtwara kero tupu, wakulima walia

“Wakulima wa korosho tunaweza kuboresha uchumi wetu kama Serikali itakuwa na nia madhubuti ya kukuza na kuwekeza katika kilimo.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani