Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima walia na DC Mvomero

MKUU wa Wilaya (DC) ya Mvomero, Anthony Mtaka, mmiliki wa Kiwanda cha Sukari Mtibwa na Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD), wanadaiwa kuukacha mkutano wa wakulima wa miwa wa nje...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wakulima, wafugaji Mvomero wapatana

SERIKALI ya Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro imefanikiwa kuwapatanisha wakulima na wafugaji wa vijiji vitano vilivyopo kata ya Hembeti vinavyo pakana na Bonde la Mgongola na imewataka wakulima wanaotoka nje ya wilaya hiyo kujisajili katika halmashauri za serikali za vijiji vinavyohusika na bonde hilo.

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri Nchemba aingilia kati mapigano ya wakulima, wafugaji Mvomero

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba ameiagiza kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Mvomero kuimarisha ulinzi maeneo yote yenye migogoro kufuatia kutokea  mapigano kati ya wakulima na wafugaji na kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine kadhaa.

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA MVOMERO AINGILIA KATI MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI KUHUSIANA NA BONDE LA MGONGOLA

Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla akimpa pole na fedha za matibabu mmoja wa wakulima aliyejeruhiwa kwa kuvunjwa Mkono. Maelfu ya wananchi wakimsikiliza kwa makini baada ya Mbunge wao Amos Makalla kukubali kufadhili Kamati ya kwenda kumuona Waziri mkuu.Mamia ya wananchi akimpokea mbunge wao aongee na wakulima bonde la Mgongolwa.

Mbunge wa Mvomero, Mh Amos Makalla akiongea na wananchi nje ya kituo cha polisi kuwa mahabusu wapo salamaMbunge wa Mvomero, mkuu wa wilaya , Kamati ya ulinzi na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima ‘walia’ na viongozi

Wakulima na wafugaji wa Kijiji cha Kidunda Kata ya Mkulazi Mkoa wa Morogoro Vijijini, wameiomba Serikali kuwawajibisha baadhi ya viongozi, ambao wamekuwa chanzo cha migogoro inayokwamisha shughuli zao za uchumi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima walia na kodi

Wakulima wa mkonge nchini wameiomba Serikali kuondoa kodi sumbufu ikiwamo ya ardhi,OSHA, kodi ya mafuta , VAT kwenye nyuzi na ushuru wa mazao ili kupunguza mzigo wa uendeshaji.

 

9 years ago

Michuzi

MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI WALETA MAAFA KATIKA KIJIJI CHA DIHINDA MVOMERO MKOANI MOROGORO


Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiangalia Ng'ombe walio uwawa katika Mgogoro wa wakulima na Wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero, katika tukio lililotokea Desemba 12 mwaka huu.Waziri wa Kilimo, Uvuvi na Ufugaji, Mwigulu Nchemba akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mvomero, Betty Mkwasa wakiwajulia hali watu waliojeruhiwa katika mgogoro wa wakulima na wafugaji uliotokea katika kijiji cha Dihinda kata ya Kanga wilayani Mvomero Desemba 12...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima walia na uendeshaji wa kesi za mifugo

KUNDI la wakulima katika Kijiji cha Pongwe Kiona wamelalamikia uendeshwaji wa kesi za migogoro baina yao na wafugaji hatua inayochangia kuendelea kujitokeza kwa manyanyaso kwa kundi hilo. Wakizungumza katika mkutano...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima mananasi Geita walia na soko

Wakulima wa mananasi katika Kijiji cha Igate, mkoani Geita wamesema kukosekana kwa soko la uhakika wa zao hilo, kunasababisha hasara na kuwavunja nguvu.

 

9 years ago

Michuzi

WAKULIMA WA KAROTI WALIA NA BEI YA ZAO HILO

Kiroba cha karoti ambacho kwa huko shambani kinauzwa kwa shilingi elfu tano tu fedha ambazo inasemekana ni kidogo ikilingamishwa na uzalishaji wa zao hilo Wakulima mashuhuri wa mbogamboga ikiwemo karoti katika kijiji Ndabwa wilaya ya Lushoto mkoani Tanga, Rehema Shegulio  (kushoto) na Hadija Shabani wakiwa wameshikilia karoti zao ambazo ni kubwa mithili ya mihogo. Picha na Vedasto Msungu 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani