Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima wa Kahawa Mbozi kunufaika na bilioni 1.35 kutoka Heifer International

Na. Mwandishi Wetu
Shirika lisilo la Kiserekali la Heifer International limepokea ufadhili wa Shilingi bilioni 1.35 (USD 750,000) kutoka Starbucks Foundation ili kuwasaidia  wakulima wadogo wadogo wilayani Mbozi kupitia mradi wa Heifer unaojulikana kama “Mbozi Farmer Livelihood Improvement Project”. Fedha hizi zinatarajia kuziwezesha jumuiya za wakulima wadogo wadogo wa zao la kahawa wa nchi za Afrika Mashariki kuboresha na kuinua viwango vya maisha.
Fedha hizi ni sehemu ya mkakati wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa kahawa kunufaika

Wakulima wa kahawa nchini wataendelea kunufaika na zao hilo baada ya kuanzishwa kwa viwanda vya usindikaji.

 

10 years ago

Michuzi

European Union awards Heifer Nederland and Heifer International Tanzania 1.6 Million euros to support farmers’ adaptation to effects of Climate in Igunga

The Country Director of Heifer International Dr. Henry Njakoi shakes hand with EU Ambassador to Tanzania H.E Filiberto Sebregondi during the Eco Village grant award ceremony at University of Dar es salaam. Dr. Henry Njakoi ( Right) – Country Director of Heifer Tanzania signs the 1.6 million Euro grant from EU for the Igunga Eco Village project ; Looking on is the EDF Deputy national authorising officer from Ministry of Finance- Mr. Godlove stephen.
Dar es Salaam, Tanzania (June 17,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wakulima nchini kunufaika na ruzuku ya vocha za pembejeo yenye thamani ya Bilioni 78!

wakulima

Baaadhi ya wakulima wadogowadogo nchini wakiwa katika shughuli za kila siku za Kilimo kwa kutumia jembe la mkono. (Picha na Maktba yetu).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza kuanza kutoa vocha za pembejeo ambazo serikali imezipatia ruzuku.

Akizungumza na waandishi wa habari, jijini hapa, Msemaji wa Wizara hiyo, Richard Kasuga amebainisha kuwa,  Serikali imetumia shilingi bilioni 78, kwa ajili ya kununua...

 

5 years ago

Michuzi

TADB yamwaga billion 7.7 kwa vyama vya ushirika vya wakulima wa kahawa (KCU na KDCU) Kagera katika msimu wa kahawa 2020/21.

Kutoka Kushoto aliyeshika kipaza sauti ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mh. Brig. Gaguti, akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mh. Rashid Mwaimu, Mkuu wa wilaya ya Karagwe Mh. Godfrey Muheruka, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine na mwenyekiti wa chama cha KDCU LTD Anselemi Alphonce.

Mapema leo (9 Juni 2020), TADB kwa kuongozwa na Mkurgenzi Mtendaji, Japhet Justine, wameshiriki katika ufunguzi wa msimu mpya wa kahawa 2020/21 uliofunguliwa na RC Kagera Mh. Brig. Gaguti wilayani Kyerwa....

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA HEIFER INTERNATIONAL STEVE DENNE NCHINI

DSCN1621Mfugaji wa Heifer International Tanzania Abel Mwakatumbula na mkewe wakiwa na Makamu wa Rais wa shirika hilo Bw. Steve Denne aliyetembelea Tanzania kwa mara kwanza wiki iliyopita kuona miradi inayoendeshwa na shirika hilo. Katika ziara hiyo, Steve Denne alitembelea ofisi za mkoa wa Mbeya akifuatana na Mkurugenzi wa Heifer International Tanzania Dk Henry Njakoi, Meneja Mradi wa EADD Tanzania Bwana Mark Tsoxo, ambapo walikutana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro. Katika Mazungumzo yake na...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA SHIRIKA LA HEIFER INTERNATIONAL STEVE DENNE NCHINI‏

Mfugaji wa Heifer International Tanzania Abel Mwakatumbula na mkewe wakiwa na Makamu wa Rais wa shirika hilo. Makamu wa Rais wa Heifer International Steve Denne, Mkurugenzi wa Heifer International Tanzania Dk. Henry Njakoi wakifurahia mafanikio ya miradi ya Heifer International.…

 

11 years ago

Michuzi

HEIFER INTERNATIONAL TANZANIA YAZINDUA MRADI MKUBWA WA KUENDELEZA SEKTA YA MAZIWA KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Naibu waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambae pia alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Mh Kaika Telele akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya Maziwa Afrika Mashariki uliofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwl Nyerere Mwishoni mwa Wiki.  Mkurugenzi Mkuu wa Heifer International Tanzania, Dk Henry Njakoi akiongea na wageni waalikwa na wadau wa sekta ya maziwa nchini na wa kimataifa waliofika katika uzinduzi wa Mradi wa Uendelezaji Sekta ya Maziwa Afrika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima kahawa hawatalipwa fidia

SERIKALI imesema  haina mpango wa kuwalipa fidia ya hasara inayotokana na mdororo wa uchumi kwa  wakulima wa kahawa walio chini ya Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) kama...

 

11 years ago

Habarileo

NSSF kukopesha wakulima wa kahawa

WAKULIMA za zao la Kahawa wanatarajia kunufaika na mikopo inayotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoani Kilimanjaro, kuboresha zao hilo, ambalo limekumbwa na changamoto mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani