Wakulima walalamika kukandamizwa
Wakulima wa pamba kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, wamesema hatua ya Serikali kuongeza kiwango kidogo cha bei ya pamba, msimu wa 2014/15 ni kuzidi kuwakandamiza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Wakulima wa pamba wazidi kukandamizwa
11 years ago
Tanzania Daima08 May
Walimu Rahaleo walalamika
WALIMU wa shule ya msingi ya Viziwi Rahaleo, iliyopo Manispaa ya Mtwara/Mikindani, wanalalamikia mazingira magumu ya kazi kutokana na kutumia chumba kimoja cha darasa kama ofisi na wanafunzi tangu kuanzishwa kwake...
11 years ago
BBCSwahili25 Apr
Wayahudi wa Ethiopia walalamika
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Tanga walalamika maisha magumu
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Igunga walalamika kukatiwa umeme
WAFANYABIASHARA wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wamesema kukatika kwa umeme mara kwa mara kunasababisha kushindwa kuendesha biashara zao kwa ufanisi. Wakizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu jana,...
10 years ago
Habarileo18 Feb
Walalamika mikataba kupelekwa kwa AG
UTARARIBU wa kupeleka mikataba yote ya miradi ya barabara yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 50 kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), umelalamikiwa kutokana na kukwamisha miradi ya barabara katika halmashauri za Manispaa za Mkoa wa Dodoma.
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
Walalamika kubaguliwa Bunge la Katiba
WADAU wa afya wameeleza kusikitishwa kwa kutotambuliwa kwa haki ya afya kama haki ya msingi ya kila mwananchi kwenye rasimu ya katiba mpya. Tamko hilo lilitolewa na Sikika, Chama cha...
11 years ago
Mwananchi20 May
Wagonjwa walalamika kulazimishwa kulazwa Amana
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Wajawazito walalamika kuombwa ‘kitu kidogo’
BAADHI ya kina mama hasa wajawazito wa vijiji vya Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini, wamewalalamikia wauguzi na wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Simambwe kwa kuwaomba ‘kitu...