Wakurugenzi watendaji na maofisa wa uchaguzi Mkoani Manyara wala viapo
![](http://2.bp.blogspot.com/-X1n6Asx08-I/VXLbzftUfAI/AAAAAAAHceE/6LP_tkliz3U/s72-c/unnamed%2B%252893%2529.jpg)
Wakurugenzi watendaji na maofisa wa uchaguzi wa Halmashauri za Wilaya Mkoani Manyara, wakila viapo kwenye mafunzo ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura yaliyofanyika jana mjini Babati.
Mchambuzi mwandamizi wa kompyuta wa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) Joseph Mally akionyesha vifaa vya Biomertic Voter Registration (BVR) vitakavyotumika kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Mkoani Manyara, jana mjini Babati.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0aJtmkBuMSM/XszczR_JYzI/AAAAAAALrkM/evPcW-xs960xXpnL4Txfucfw7GkI48EsgCLcBGAsYHQ/s72-c/pccb.jpg)
TAKUKURU MANYARA YAWATIA MBARONI MAOFISA WAWILI WA TRA
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu (Pichani) akizungumza mjini Babati alisema maofisa hao TRA wanadaiwa kufanya kosa hilo kinyume cha kifungu cha 15 cha sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa namba 11/2007.
![](https://1.bp.blogspot.com/-0aJtmkBuMSM/XszczR_JYzI/AAAAAAALrkM/evPcW-xs960xXpnL4Txfucfw7GkI48EsgCLcBGAsYHQ/s640/pccb.jpg)
10 years ago
Habarileo29 May
Watendaji wala rushwa wanawaponza waadilifu
MBUNGE wa Mbarali, Modestus Kilufi (CCM), amesema watendaji wala rushwa na mafisadi wanasababisha mawaziri waadilifu walaumiwe bila sababu.
10 years ago
StarTV14 Jan
Maafisa ardhi waaswa kuelimisha watendaji Manyara.
Na Ramadhan Mvungi
Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Joel Bendera amewaagiza maafisa wa ardhi kuwaelimisha watendaji ngazi za vijiji na kata kuhusu sheria za ugawaji wa Ardhi.
Hatua hii itaepusha utaratibu wa uuzwaji wa ardhi kiholela unaochangia migogoro na mauaji katika baadhi ya maeneo mkoani Manyara.
o que fazer viagra para homensAkizungumza na viongozi wa kiserikali pamoja na watumishi wa umma wilayani Kiteto katika ziara yake akiwa kama Mkuu mpya wa Mkoa wa Manyara, Bendera...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xCESIMNAwus/U4N_SHXg3UI/AAAAAAACiMU/_GoFKQHPCmY/s72-c/15.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU NANE MKOANI SINGIDA,KESHO KUELEKEA MKOANI MANYARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-xCESIMNAwus/U4N_SHXg3UI/AAAAAAACiMU/_GoFKQHPCmY/s1600/15.jpg)
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Kiravu: Wakurugenzi Halmashauri wasimamie uchaguzi
10 years ago
Habarileo18 Dec
Wakurugenzi 6 watimuliwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa
SERIKALI imechukua hatua kali kwa wakurugenzi 17 wa halmashauri mbalimbali nchini, ambapo sita uteuzi wao umetenguliwa, watano wamesimamishwa kazi, watatu wamepewa onyo kali na watatu wamepewa onyo.
Wote hao wamepewa adhabu hiyo kutokana na kushindwa kutimiza wajibu wao katika kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Jumapili.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia alisema hayo Dar es Salaam...
10 years ago
StarTV17 Dec
Madudu uchaguzi serikali za mitaa, wakurugenzi watimuliwa.
Na Mwandishi Maalum.
Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana
na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi huo pia umeridhiwa na Rais Jakaya...
10 years ago
Habarileo17 Dec
Wakurugenzi wasimamishwa kwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa
SERIKALI imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Waziri Ghasia atimua wakurugenzi walioboronga Uchaguzi Serikali za Mitaa