Kiravu: Wakurugenzi Halmashauri wasimamie uchaguzi
>Wakati joto la uchaguzi likiendelea kupanda nchini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Rajabu Kiravu amependekeza Wakurugenzi wa Halmashauri wasisimamie uchaguzi ili kuondoa malalamiko.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Ghasia: Wakurugenzi halmashauri shirikisheni wanasiasa
WAKURUGENZI wa halmashauri nchini wametakiwa kuwashirikisha wanasiasa katika shughuli zote za maendeleo wanazozipanga ili zifanikiwe. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Waziri wa Nchi, Ofisi...
11 years ago
Tanzania Daima31 Oct
‘Wakurugenzi Halmashauri hawaelewi michakato ya maendeleo’
UTAFITI uliofanywa na Mwamvuli wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Tanzania (Tango), umebaini kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri hawaelewi kuhusu michakato ya maendeleo nchini hasa katika suala la uingiwaji wa mikataba kati...
10 years ago
Habarileo10 Nov
Wakurugenzi halmashauri, miji walimwa barua
OFISI ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (Tamisemi), imewaandikia baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji barua za kuwabadilishia majukumu, baada ya kubainika wameshindwa kwenda na kasi ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari.
5 years ago
Michuzi
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKIWA KUANDAA MIUNDOMBINU YA KUJIKINGA NA CORONA MASHULENI
Charles James, Michuzi TV
KATIKA kuhakikisha wanafunzi wa kidato cha sita wanaorejea mashuleni wanakua salama, Serikali imewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuandaa miundombinu itakayowezesha wanafunzi hao wanachukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.
Kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma na Naibu Katibu Ofisi ya Rais-Tamisemi anaeyeshughulikia elimu, Gerald Mweli alipofanya ziara ya kukagua shule zenye wanafunzi wa kidato cha Sita Mkoani Dodoma ili kuangalia maandalizi ya kuwapokea...
9 years ago
MichuziNAIBU Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jaffo atoa siku 27 kwa wakurugenzi wa halmashauri nchini kuanza kutumia mfumo wa kielekroniki
10 years ago
StarTV17 Dec
Madudu uchaguzi serikali za mitaa, wakurugenzi watimuliwa.
Na Mwandishi Maalum.
Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana
na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi huo pia umeridhiwa na Rais Jakaya...
10 years ago
Habarileo18 Dec
Wakurugenzi 6 watimuliwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa
SERIKALI imechukua hatua kali kwa wakurugenzi 17 wa halmashauri mbalimbali nchini, ambapo sita uteuzi wao umetenguliwa, watano wamesimamishwa kazi, watatu wamepewa onyo kali na watatu wamepewa onyo.
Wote hao wamepewa adhabu hiyo kutokana na kushindwa kutimiza wajibu wao katika kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Jumapili.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia alisema hayo Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo17 Dec
Wakurugenzi wasimamishwa kwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa
SERIKALI imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Waziri Ghasia atimua wakurugenzi walioboronga Uchaguzi Serikali za Mitaa