Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ghasia: Wakurugenzi halmashauri shirikisheni wanasiasa

WAKURUGENZI wa halmashauri nchini wametakiwa kuwashirikisha wanasiasa katika shughuli zote za maendeleo wanazozipanga ili zifanikiwe. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na Waziri wa Nchi, Ofisi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI HAWA GHASIA AWATIMUA WAKURUGENZI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia (pichani) leo amewavua madaraka wakurugenzi wa Kasulu, Bunda, Serengeti, Mkuranga, Sengerema, Kaliua kwa uzembe wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Ghasia atimua wakurugenzi walioboronga Uchaguzi Serikali za Mitaa

Waziri wa Nchi Ofisi ya  Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (Tamisemi) Hawa Ghasia amewasimamisha kazi wakurugenzi wa halmashauri  mbalimbali kutokana na  kuchelewa kuandaa  na kupeleka vifaa vya kupigia kura pamoja na uzembe katika kutekeleza majukumu yao katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika nchi nzima Jumapili iliyopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiravu: Wakurugenzi Halmashauri wasimamie uchaguzi

>Wakati joto la uchaguzi likiendelea kupanda nchini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Rajabu Kiravu amependekeza Wakurugenzi wa Halmashauri wasisimamie uchaguzi ili kuondoa malalamiko.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Wakurugenzi Halmashauri hawaelewi michakato ya maendeleo’

UTAFITI uliofanywa na Mwamvuli wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Tanzania (Tango), umebaini kuwa  Wakurugenzi wa Halmashauri hawaelewi kuhusu michakato ya maendeleo nchini hasa katika suala la uingiwaji wa mikataba kati...

 

10 years ago

Habarileo

Wakurugenzi halmashauri, miji walimwa barua

Katibu Mkuu wa Tamisemi, Jumanne SaginiOFISI ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa ya Serikali za Mitaa (Tamisemi), imewaandikia baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji barua za kuwabadilishia majukumu, baada ya kubainika wameshindwa kwenda na kasi ya ujenzi wa maabara katika shule za sekondari.

 

5 years ago

Michuzi

WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WATAKIWA KUANDAA MIUNDOMBINU YA KUJIKINGA NA CORONA MASHULENI


Charles James, Michuzi TV

KATIKA kuhakikisha wanafunzi wa kidato cha sita wanaorejea mashuleni wanakua salama, Serikali imewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuandaa miundombinu itakayowezesha wanafunzi hao wanachukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona.

Kauli hiyo imetolewa jijini Dodoma na Naibu Katibu Ofisi ya Rais-Tamisemi anaeyeshughulikia elimu, Gerald Mweli alipofanya ziara ya kukagua shule zenye wanafunzi wa kidato cha Sita Mkoani Dodoma ili kuangalia maandalizi ya kuwapokea...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jaffo atoa siku 27 kwa wakurugenzi wa halmashauri nchini kuanza kutumia mfumo wa kielekroniki

 Naibu Waziri ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo akishiriki zoezi la kuwapima uzito mmoja wa watoto waliokuwepo katika kituo cha Afya Bahi baada ya kufanya ziara ya kukagua utoaji Huduma za afya katika wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma.  Naibu waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo akizungumza na wagonjwa Mara baada ya kukagua wodi ya akina mama katika Kituo cha afya bahi. Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jaffo akizungumza na watumishi na wakuu wa idara katika...

 

10 years ago

StarTV

Halmashauri Gairo yaidai Halmashauri Kilosa Sh. Mil. 253

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Morogoro.

 

Halmashauri ya wilaya Mpya ya Gairo mkoa Morogoro imeiangukia Serikali kuwasaidia kurejeshwa kwa fedha za mapato ya ndani zaidi ya shilingi milioni 250 ambazo zimechukuliwa na halmashauri mama ya wilaya ya Kilosa hali inayofanya Gairo kuonesha upungufu katika makusanyo ya ndani.

Halmashauri ya wilaya ya Kilosa imekuwa ikichukua mapato ya ndani ya halmashauri ya Gairo kupitia wakala wa kukusanya mapato walioingia mkataba na wilaya hiyo ya Kilosa kabla...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri awaagiza wakurugenzi

Serikali imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri nchini kuhakikisha walemavu wanathaminiwa na kupewa haki zao bila ubaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani