Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKUU WA IDARA LUDEWA WANUSURIKA KUCHARAZWA BAKORA MKUTANONI

BAADA ya wagonjwa zanahati ya Mlangali kulala chini kwa ukosefu wa vitanda mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewatimua katika mkutano wa hadhara wakuu wa idara sita akiwemo kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa Horace Kolimba kutokana uzembe wa kushindwa kupeleka vitanda katika Zahanati hiyo kwa mwaka mmoja sasa mbali ya vitanda hivyo kuvinunua kwa pesa zake.

Hatua hiyo imekuja muda mufupi baada ya mbunge huyo kufungua rasmi zahanati hiyo na kukutana na changamoto ya...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWAAGIZA WAKUU WA IDARA KUANDAA TAARIFA ZA IDARA ZAO.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Willium Lukuvi akizungumza na wakuu Idara katika wizara ya Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi alipokutana nao leo alipokaribishwa kwa mara ya kwanza katika wizara  hiyo, tangu achaguliwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli kuwa Waziri wa wizara, na kuwaagiza wakuu wa idara katika wizara hiyo kutoa taaarifa za idara zao ifikapo jumatatu ya wiki ijayo.Naibu Waziri wa Wizara Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...

 

10 years ago

Habarileo

Wakuu wa idara Chemba ‘kupanguliwa’

RAIS Jakaya Kikwete, amesema analifanyia kazi suala la kuwa na wakuu wa idara wengi wanaume katika Wilaya Mpya ya Chemba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakuu wa Idara wasikimbie wananchi

WAKUU wa Idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, wametakiwa kuachana na utaratibu wa kutuma wawakilishi kwenye mikutano ya wananchi kwani kufanya hivyo ni kuibua hofu ya maendeleo...

 

9 years ago

Habarileo

Wakuu idara za ujenzi watakiwa kusajiliwa

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameziagiza Halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba wakuu wote wa Idara za Ujenzi wamesajiliwa kama wahandisi wataalamu ifikapo Juni 30, mwakani.

 

10 years ago

StarTV

Wakuu wa idara saba Mkinga wasimamishwa kazi.

Na Mbonea Herman,

Tanga.

 

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Said Magalula amewasimamisha kazi wakuu wa idara saba wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kwa kosa la kuishi Tanga mjini badala ya kuishi maeneo yao ya kazi.

Waliosimamishwa kazi ni maafisa wa ardhi, kilimo, TEHAMA, manunuzi na uchaguzi pamoja na mkaguzi wa ndani.

dosagem para viagra

Sambamba na kuwasimamisha kazi wakuu hao wa idara, Magalula amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Amina Kiwanuka kuwachukulia hatua za kinidhamu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Amos Makalla apiga marufuku likizo za Ma DC, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara mkoani Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

KATIKA hali inayoonyesha ni joto kali la kuwatumikia Watanzania, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, amepiga marufuku likizo za Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwenye mkoa wake ili kutekeleza kwa vitendo hotuba na maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli.

RC Makalla aliyasema hayo jana katika kikao cha kazi na wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa idara wa halmashauri na Kamati ya Ulinzi...

 

11 years ago

GPL

INJINIA MANYANYA: SITASITA KUWAONDOA WATUMISHI, WAKUU WA IDARA WANAOWACHONGANISHA MADIWANI NA MKURUGENZI WAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kilichofanyika jana tarehe 25 Januari 2014 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo uliopo Sumbawanga Mjini.  Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Methew Sedoyyeka akizungumza katika kikao…

 

10 years ago

Michuzi

WAKUU WA IDARA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPA ZAWADI KATIBU MKUU WAO

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Ngao ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kwa niaba ya Wakuu wa Idara na Vitengo wizarani humo. Zawadi hiyo ya kushtukiza iliandaliwa na viongozi hao wa Idara baada ya hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete kumvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Katibu Mkuu wao katika tukio lililofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni...

 

11 years ago

Michuzi

Dk. Rehema Nchimbi afungua mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa,Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akifungua mkutano wa mwaka uliowakutanisha Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa mjini Dodoma leo. Sehemu ya washiriki wa mkutano wa Wakuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wakimsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi (hayupo pichani). Sehemu ya Washiriki wa mkutano wa Wakuuu wa Idara za Utawala na Rasilimaliwatu katika Mamlaka za Serikali za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani