Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakuu wa usalama watimuliwa Kenya.

Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi waziri wa usalama Joseph Ole Lenku na kumpendekeza waziri mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi hio.

Wakati huohuo mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo amejiuzulu kutokana na shinikizo dhidi yake afanye hivyo kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama nchini.

Rais Kenyatta alisema kuwa baada ya mazungumzo na Bwana Kimaiyo alikubali ‘kustaafu’ mapema kutoka kwa majukumu yake kwa sababu za kibinafsi.

Rais alitoa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Maafisa wa usalama watimuliwa Somalia

Mkuu wa polisi na mwenzake wa ujasusi nchini Somalia, wameachishwa kazi kufuatia shambulizi dhidi ya ikulu ya Rais

 

9 years ago

MillardAyo

Usalama wa wateja wa benki, Lugha ya Kichina, wakuu wa shule na ubadhirifu..#MAGAZETINI

HABARILEO Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakusudia kuwafikisha wakuu wa shule zake 15 kwenye vyombo vya sheria kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha. Akizungumza jana jijini Dar es SaIaam, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Abdallah Bulembo alisema zaidi ya shule 26 walizozifanyia ukaguzi, 15 zimekutwa zikiwa na upungufu na kubwa ikiwa ni […]

The post Usalama wa wateja wa benki, Lugha ya Kichina, wakuu wa shule na ubadhirifu..#MAGAZETINI appeared first on TZA_MillardAyo.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AWAONGOZA WATENDAJI WAKUU ZIMAMOTO KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA



Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akizungumza na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Victor Mwambalaswa wakati wakitoka kukagua Jengo la Makao makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, jijini Dodoma leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhani Kailima....

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto . Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.Prof. Mabula Daudi Mchembe akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Hafla iliyofanyika Wilayani...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MAWAZIRI WA KAMATI YA SADC YA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA KWA NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge (katikati), kushoto kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi, Dkt. Faraji Mnyepe , mwisho kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Christopher Kadio wakifuatilia mkutano huo kwa njia ya video conference, Jijini Dar es salaam
Washiriki wakifuatilia mkutano kwa njia ya Video Conference jijini Dar es Salaam

Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na baadhi ya...

 

5 years ago

Ykileo

KENYA: WAKUU WA TEHAMA WAKUTANA



KWA UFUPI: Wakuu wa vitengo vya TEHAMA wamekutana kujadili changamoto na namna nzuri ya kuzitatua changamoto hizo katika vikao vilivyo kamilika Nchini Kenya.

-------------------------------


Watunga sera na sheria mbali mbali wamekua wakifanya maamuzi ya TEHAMA bila kushirikisha wadau wa TEHAMA – Hii imekua moja ya changamoto inayo leta mkinzano wa utendaji wenye manufaa kwa wana TEHAMA maeneo mengi barani Afrika.


Mjadala ulioangazia umuhimu wa udhibiti na uangalizi wa watendaji katika sekta ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya

Rais Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo,

 

9 years ago

BBCSwahili

Maafisa wakuu wa riadha Kenya wapigwa marufuku

Kamati ya maadili ya shirikisho la riadha duniani IAAF limewapiga marufuku kwa muda viongozi watatu wa shirikisho la riadha la Kenya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani