Walimu kusomeshwa
WALIMU nchini watanufaika kwa mara nyingine kwa kusomeshwa na Serikali katika masomo ya ngazi mbalimbali ikiwemo uzamili na uzamivu katika awamu ya pili ya Mradi wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu (STHEP) ulio chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Oct
Vinara hisabati kusomeshwa China
SERIKALI ya China itadhamini wanafunzi bora 10 wa kidato cha sita watakaofanya vizuri katika somo la hisabati kwa kuwa inaamini maendeleo yatategemea ukuaji wa sayansi na teknolojia miongoni mwa vijana.
11 years ago
Habarileo24 Jul
Waliopata daraja la kwanza kusomeshwa bure ualimu
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewahakikishia wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka huu waliofaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza na kuamua kusomea ualimu wa Sayansi ngazi ya Stashahada, watasomeshwa bure.
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NeZSb8inmZg/XsNwbcdl5GI/AAAAAAALqtU/fB7I1rBmzecoLfLGFJIJnH212rT3ZKKxwCLcBGAsYHQ/s72-c/873cfe13-d758-4251-8b9e-f44638d623d6.jpg)
JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI
Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .
Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.
Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni