Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vinara hisabati kusomeshwa China

SERIKALI ya China itadhamini wanafunzi bora 10 wa kidato cha sita watakaofanya vizuri katika somo la hisabati kwa kuwa inaamini maendeleo yatategemea ukuaji wa sayansi na teknolojia miongoni mwa vijana.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Walimu kusomeshwa

WALIMU nchini watanufaika kwa mara nyingine kwa kusomeshwa na Serikali katika masomo ya ngazi mbalimbali ikiwemo uzamili na uzamivu katika awamu ya pili ya Mradi wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu (STHEP) ulio chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

 

11 years ago

Habarileo

Waliopata daraja la kwanza kusomeshwa bure ualimu

Naibu Waziri, Jenista MhagamaWIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewahakikishia wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka huu waliofaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza na kuamua kusomea ualimu wa Sayansi ngazi ya Stashahada, watasomeshwa bure.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanafunzi aliyefunika hisabati darasa la 7

Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13).
Mwanafunzi bora wa somo la Hisabati katika mitihani ya taifa ya darasa la saba iliyofanyika nchini Septemba mwaka huu, Rachel Kiunsi (13), ameeleza siri ya mafanikio yake kuwa ni kujituma katika masomo na kuwaheshimu walimu.

Akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu jana kutoka mkoani Singida, Rachel ambaye alikuwa anasoma shule ya msingi Kimara 'B', jijini...

 

11 years ago

Habarileo

Taasisi ya kufundisha hisabati yaja

Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sylivia TemuSERIKALI inatarajia kusaini makubaliano ya awali (MOU) na Taasisi ya Masuala ya Sayansi ya Hesabu Afrika (AIMS), yatakayoiwezesha taasisi hiyo kuanzisha kampasi yake hapa nchini itakayofundisha na kuendeleza masomo ya Hisabati na Sayansi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vibonzo vyarahisisha hisabati kwa watoto

Vibonzo vya elimu burudani, inawafundisha watoto hisabati

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu wa hisabati, sayansi wapigwa ‘tafu’

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetoa mkopo wa masharti nafuu wa Sh92 bilioni kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia mradi kwa sekta ya elimu hasa kuwajengea uwezo walimu wa masomo ya sayansi na hisabati.

 

10 years ago

Habarileo

Upungufu wataalamu wa Hisabati kwadumaza uchumi

TANZANIA inakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu wa wataalamu wa Hisabati katika masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa, uchumi na mambo ya fizikia, sababu inayochangia kuporomoka na kudumaa kwa uchumi wa Taifa.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WAADHIMISHA SOMO LA HISABATI NCHINI

Wanafunzi wakiwa na Bango wakiingia viwanjani hapo. Wanafunzi wa shule mbalimbali wakiingia kwa mbwembwe .…

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu 100 kujadili maendeleo ya Hisabati

Walimu takriban 100 wa somo la hesabu kutoka nchi za Afrika Mashariki wanatarajia kukutana katika mkutano wa kimataifa utakaoangazia namna ya kuendeleza somo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani